Wagombea wapimwe kwa Wasifu wao (CV) au Sera?

Last Seen

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
223
549
Habari wana Jukwaa!

Katika kufuatilia mabango ya baadhi ya watia nia wa ubunge nimegundua wengi Wametutisha na Ma-Cv yao badala ya kutuhakikishia Mambo watakayotufanyia punde tukiwapa ridhaa ya kupeperusha bendera za vyama husika!

Ndugu wana jukwaa naombeni mnosaidie michango yenu na Mimi Labda Niko nawaza tofauti na wengine.
 
wapimwe kwanza mkojo, maana wengi wao ni walevi sana kisha wapigishwe pushapu hamsini na akiamka apewe kura, ma CV hayana ishu!
 
Mbunge anatakiwa awe ni yule anajua kusoma na kuandika. Halafu awe na Mahusiano mazuri na wananchi anao wawakilisha. Siyo awe na ma-CV lkn haendani na wananchi kifikra, kimtazamo wala kijamii. Tupa kule hao.
 
ma degrii meeengi hata kujieleza hajui,hafahamu hata vijiji vya jimbo lake,hajawahi kushiriki shughuli yoyote ya kimaendeleo eneo husika,hata hatwambii atafanya lipi na lipi ila hata hivyo umepewa dakika tano umwage sera zitaisha umesema ccm hoyeee kidumu chama bas muda ushaisha
 
Back
Top Bottom