Wagombea wa CHADEMA 166 waenguliwa Njombe

Acha ujuha wewe!!! Mbona hujajiuliza kwanini chama chenu cha wahuni na mafisadi kinawawekea pingamizi wagombea wa CHADEMA na si wa vyama vingine!?

Cha kushangaza ni kwamba wanaolalamika ni chadema tu na si vyama vingine
 
Cha kushangaza ni kwamba wanaolalamika ni chadema tu na si vyama vingine

Kuna wagombea Njombe WAME ENGULIWA sababu "hawakuaga" walipo amua kuondoka CCM!

Hear say zinasema Mkurugenzi na DC ambao wapo kwenye kamati hizo za mashtaka HAWAKUTEGEMEA kama habari hizi zitafika kwenye media
 
Wangekuwa wana huruma na ww wangekufanya ht umalize darasa la saba, uandikaji wako unaonesha umeishia Std3 or 4. Nyie ni mtaji mzuri sana kwa CCM na ht cku1 hawataki muelimike

mimi std2 ila wewe utakuwa umesoma tapa maana hujui dhamira ya nilichoandika
 
Back
Top Bottom