Wagombea wa CHADEMA 166 waenguliwa Njombe

Cha kushangaza ni kwamba wanaolalamika ni chadema tu na si vyama vingine

mavi ni mamvi tu hata uyapake utuli bado yatatoa harufu kali isiyo pendwa na watu kama wewe, unatia kinyaa kama hadi leo hujuo tofauti ya chedema na vyama vingine vya upinzani. Kwa chedema ccm lazima mnye!
 
freman-mbowe-december8-2014.jpg


mwenyekiti wa chadema taifa, freeman mbowe


nyagawa alisema wagombe hao wameenguliwa kwa madai kuwa awali walikuwa ccm na hivyo wakati wanahamia chadema hawakuaga na kwamba katika nafasi ya uenyekiti vijijini ni 66 na vitongoji ni 100.

chanzo: Nipashe

tutaheshimiana tu. ukiona mtu analalamika hata kabla ya mchezo basi ujue hakujiandaa vema. Hapa ndipo ninapolikumbuka bandiko la chabruma


Thinking.jpg



mizambwa
inaniuma sana!!!
 
Donatila Me najua wewe ni mshabiki maandazi tu bado hujaelewa dhana ya mabadiliko ya uongozi katika hii nchi.
Umeridhika na hali ilivyo, kama unaamini CCM itatawala milele we ndo huna jipya. Hilo halitawezekana na mimi wala siangalii 2015 naangalia mbali zaidi, wewe upeo wako umeishia 2015, me sipo huko kabisa.
Ndo wewe kwenye hiyo profile picture ntakubusu bure.
 
Last edited by a moderator:
Donatila Me najua wewe ni mshabiki maandazi tu bado hujaelewa dhana ya mabadiliko ya uongozi katika hii nchi.
Umeridhika na hali ilivyo, kama unaamini CCM itatawala milele we ndo huna jipya. Hilo halitawezekana na mimi wala siangalii 2015 naangalia mbali zaidi, wewe upeo wako umeishia 2015, me sipo huko kabisa.
Ndo wewe kwenye hiyo profile picture ntakubusu bure.

kulikoni mtawale nyinyi wazee wa magwanda nibora jeshi
 
Jamaa wameanza kucheza na marefa siyo, na bado watalegea tu. Mapingamizi siyo kutiba tatizo, ni sawa na mgonjwa wa Malaria kumpatia Panado.
 
hakuna ila kuwatafutia balaa hao wanaopitishwa kimazabe na sababu zisizo na kichwa wala miguu ,hapa inataka itumike suluhu ya kutotawalika na hakuna njia mbadala ,hao wenye kupewa nafahasi hizo kwa bei ya chee ,wajue watajuta kuzaliwa. Wataikimbia mitaa yao mchana kweupe ,ule wakati wa babu jinga ndio aliwae umepitwa na wakati ,wananchi hawatokubali kuekewa kiongozi wa ccm.
 
hapo unawafanya wananchi kuelewa zaidi wanaposikia flaani kachakachua ubunge chuki hii itajibiwa 2015.kuna mabo mengi ambayo ingalikuwa rahisi tu kurekebisha si kungangania sheria nyingi katika ngazi hizo hu wananchi hatukuwapa elimu ya kutosha

Kungangania=Kung'ang'ania.
 
Donatila ngoja nikuache lala kwanza ukiamka weekend ulivurugwa utakuwa na hangover ya kitu flani
 
Last edited by a moderator:
hizi ni hujuma za ccm lakini huu uonevu una mwisho wake ccm watakuja kufa kifo cha mende hawataamni huu wizi wa escrow ndo jeneza la ccm
 
RUCCI hunajipya wewe na machadema kazi maandamano uchaguzi mdogo umewashinda mkubwa ndo utawashindilia
uchaguzi unafanyika tarehe 14.12.2014 kama ccm mmeshinda kabla ya kupiga kura hizi ni porojo za kujifariji
 
Back
Top Bottom