Uchaguzi 2020 Wagombea, viongozi, watawala acheni kuuza taarifa kwenye WhatsApp mkiamini mpo peke yenu. Verify

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Mliopo katika nafasi ya kuwashauri Wazee na wadosi washaurini wajifunze kuilinda dhamana waliyopewa.

Whatsapp imekuwa uchochoro wa kuvujisha Siri na mikakati mingi, naumia kuona baadhi ya magrouop ya wadosi yana members ambao siyo wahusika na wanafuatilia mijadala inayoendelea.

Naumia pale ninapogundua wapo wanawake vimada wametengenezwa kuingia kwenye mahusiano na vigogo wa nchi hii na wakipata chance na kwa udhaifu wa wanaume tunaowaita Walinzi wataifa letu, wanatoa simu zao password na kukabidhi kwa mwanamke wasiyemjua tabia za ndani kisha wanamaliza show nakuingia kukoroma huku kimada akihamisha meseji muhimu kwake na kuchokonoa members wengine kwenye group.

Wapo wazazi wanawaachia watoto wao simu bila kujua network za watoto wao na uwezo wa watoto hao kutunza Siri. Mtoto anaona kilichopo kwenye simu anakipeleka kwa marafiki na marafiki wanapeleka kwa marafiki.

Wapo viongozi wakubwa uwezo wakutumia smartphone ni mdogo lakini taasisi inamlazimisha awe na whatsapp, anachofanya anatafuta kijana wakumsaidia kujibu na kusoma baadhi ya issue nyeti..nawahurumia.

Viongozi wa siasa nao wamevamiwa kila mtu akisema ni mwanachama wanamuadd kwenye group bila kujua dhamira yake. Hii inaimaliza sana CCM maana mamluki kibao wapo kwenye WhatsApp group zao na wanachukua taarifa ya kila mkakati na kushare, wanachukua hoja na kuzihamisha...teknologia inahitaji taadhari.

Nitoe witu huu leo, viongozi jichunguzeni nafsini mwenu ni mara ngapi mmewaachia vimada na vibenteni simu zenu kwa sababu ya kulewa mapenzi? Mliowaachia mnawafahamu agenda zao?

Ni viongozi wangapi mnawaachia watoto wenu simu? Mnawaamini watoto hao kwamba taarifa wanazosoma zinabaki vifuani mwao?

Ni viongozi wangapi mnatafuta vijana wakusoma email na kujibu hoja nzito wasizostahiki kuziona kwenye groups zenu? Mnauhakika kwamba hizo taarifa haziuzwi? Wanaozinunua mnawajua?

Tupo kwenye uchaguzi, tunapaswa kuelimishana, kukatazana na kufuatilia nyendo zetu kuhakikisha walaji wa taarifa Ni wale tu waliothibitishwa.

UCHAGUZI MWEMA 28
 
Ei3OJTSWkAEioj_.jpeg
Unazunguka sana nenda kwenye point moja kwa moja
 
Hakuna Siri ya watu wawili duniani hata sikumoja,hayo magroup ya WhatsApp ambayo mnapanga uovu wenu huwa yanavujia Kwa KIGOGO 2014 kilasiku.
Vyote vinavyofanyika gizani Kwa Nia mbaya vitaonekana mchana peupe
 
Kwaiyo siku hizi mmehamia kwa kigogo 2014 Yule Mange kimambi sio msemaji wenu tena?? Chadema mnamatatizo sana
 
Mliopo katika nafasi ya kuwashauri Wazee na wadosi washaurini wajifunze kuilinda dhamana waliyopewa.

Whatsapp imekuwa uchochoro wa kuvujisha Siri na mikakati mingi, naumia kuona baadhi ya magrouop ya wadosi yana members ambao siyo wahusika na wanafuatilia mijadala inayoendelea.

Naumia pale ninapogundua wapo wanawake vimada wametengenezwa kuingia kwenye mahusiano na vigogo wa nchi hii na wakipata chance na kwa udhaifu wa wanaume tunaowaita Walinzi wataifa letu, wanatoa simu zao password na kukabidhi kwa mwanamke wasiyemjua tabia za ndani kisha wanamaliza show nakuingia kukoroma huku kimada akihamisha meseji muhimu kwake na kuchokonoa members wengine kwenye group.

Wapo wazazi wanawaachia watoto wao simu bila kujua network za watoto wao na uwezo wa watoto hao kutunza Siri. Mtoto anaona kilichopo kwenye simu anakipeleka kwa marafiki na marafiki wanapeleka kwa marafiki.

Wapo viongozi wakubwa uwezo wakutumia smartphone ni mdogo lakini taasisi inamlazimisha awe na whatsapp, anachofanya anatafuta kijana wakumsaidia kujibu na kusoma baadhi ya issue nyeti..nawahurumia.

Viongozi wa siasa nao wamevamiwa kila mtu akisema ni mwanachama wanamuadd kwenye group bila kujua dhamira yake. Hii inaimaliza sana CCM maana mamluki kibao wapo kwenye WhatsApp group zao na wanachukua taarifa ya kila mkakati na kushare, wanachukua hoja na kuzihamisha...teknologia inahitaji taadhari.

Nitoe witu huu leo, viongozi jichunguzeni nafsini mwenu ni mara ngapi mmewaachia vimada na vibenteni simu zenu kwa sababu ya kulewa mapenzi? Mliowaachia mnawafahamu agenda zao?

Ni viongozi wangapi mnawaachia watoto wenu simu? Mnawaamini watoto hao kwamba taarifa wanazosoma zinabaki vifuani mwao?

Ni viongozi wangapi mnatafuta vijana wakusoma email na kujibu hoja nzito wasizostahiki kuziona kwenye groups zenu? Mnauhakika kwamba hizo taarifa haziuzwi? Wanaozinunua mnawajua?

Tupo kwenye uchaguzi, tunapaswa kuelimishana, kukatazana na kufuatilia nyendo zetu kuhakikisha walaji wa taarifa Ni wale tu waliothibitishwa.

UCHAGUZI MWEMA 28
Ipo mikakati gani ya Siri inayopangwa wakati huu?
 
Mimi ni kibenten cha maza fulani mkubwa sana hapa mjini ambae ana macho yaliyolegea,huwa nashinda sana na simu yake na jana nimesafirisha taarifa chadema juu ya hila za mwenyekiti wa CCM kukutana na wakurugenzi wa nchi nzima Dodoma kupanga jinsi ya kupata kura za maruhani katika uchaguzi huu
 
Mtahangaika sana dawa ni moja tu kutenda haki basi , jua duniani hakuna siri , ogopa teknolojia na mwenyezi Mungu .
 
Back
Top Bottom