Elections 2010 Wagombea urais wetu watathubutu kudahalo kama hawa?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,196
113,471
Kwa mara ya kwanza, wagombea uwaziri mkuu wa Uingereza walikutana ktk mdahalo na kuelezea sera zao na maono yao ya jinsi na wapi wanataka kulipeleka taifa lao kama wakibahatika kuchaguliwa kuliongoza.

Je, Kikwete ana guts kweli za kukutana ana kwa ana na washindani wenzake na kudahalo kama hawa jamaa? Sidhani hata kiduchu! Haya furahia mdahalo.....

Last edited by a moderator:
Nadhani bwana Clegg alishinda huu mdahalo...huyu bwana ni wa chama cha Liberal Democrats.....ni kidogo kulinganisha na Conservative na Labour Party....bila huu mdahalo huyu bwana asingeweza kuonesha cheche zake.....
 
Mheshimiwa wetu hata 2005 alidai yupo bize na kampeni hana muda wa mdahalo....ijekuwa sasa hivi ambapo kuna issue kibao za kumbana kiutendaji wake???
 
Mdahalo uandaliwe tu mwaka huu (midahalo miwili) hata kama Kikwete ataingia mitini basi mgombea wa chama kingine awekwe pamoja na na jopo la wazungumzaji mbali mbali kama maprofesa wazungumzie hali katika nchi yetu.
 
Nadhani bwana Clegg alishinda huu mdahalo...huyu bwana ni wa chama cha Liberal Democrats.....ni kidogo kulinganisha na Conservative na Labour Party....bila huu mdahalo huyu bwana asingeweza kuonesha cheche zake.....
Until when he started to talk about amnesty for illegal immigrants...nina support amnesty but you cant mention it when about 2.5m people are out of work.
 
Kwa mara ya kwanza, wagombea uwaziri mkuu wa Uingereza walikutana ktk mdahalo na kuelezea sera zao na maono yao ya jinsi na wapi wanataka kulipeleka taifa lao kama wakibahatika kuchaguliwa kuliongoza.

Je, Kikwete ana guts kweli za kukutana ana kwa ana na washindani wenzake na kudahalo kama hawa jamaa? Sidhani hata kiduchu! Haya furahia mdahalo.....
Ule wa 1995 Mkapa aliondoka amevimba kwa hasira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom