Wagombea Urais Washiriki Kuandika Ilani za Vyama Vyao

JembeNaNyundo

JF-Expert Member
Dec 9, 2016
532
646
Nadhani ni muda muafaka sasa, uteuzi wa wagombea Urais ukawa unafanyika mapema, ili kuwapa nafasi ya kushiriki kuandika ilani za uchaguzi za chama chao. Tumejifunza hili toka kwa Mhe. Rais Magufuli ambapo kawa na mtazamo tofauti katika moja ya sehemu ilani ya uchaguzi ya chama chake iliyoandikwa na akina Tyson (Wasirra), ambaye hata ubunge tu aliukosa.

Kwenye ilani ya uchaguzi kunapaswa kujazwe maoni au mawazo ya mgombea Urais, na si kubebeshwa furushi ambalo huna imani nalo.

Kubebeshwa furushi usilolipenda, huwa zito kwelikweli.
 
Nani kakuambia rais wetu hafuati Ilani ya chama chake??

Wapi umesoma ukakuta kakinzana na chama!!
 
Back
Top Bottom