Wagombea Urais wa CCM wakubali kukosa uwaziri...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,847
Mimi nafikiri ni busara tu kwa mtu yeyote anae jiona anafaa kuwa Rais
pale atakapo ukosa basi ampe yule atakae teuliwa 'space' ya kutosha
kuchagua mawaziri ambao watakuwa 100 percent loyal
na wako tayari kupokea 'order' bila kusita sita...

Mtu ukisha kuwa kichwani unajiona 'unafaa' kuwa Rais inakua ngumu
tena kupewa cheo kingine kidogo na kukitumikia kwa uaminifu..
nafikiri tuanzishe pia na utamaduni wa wagombea urais nao
'kumpa nafasi na kumppisha' atakae teuliwa 'kuchagua 'watu wengine'
wa kumsaidia kuendesha serikali 'anavyoona' yeye inafaa

Sio mtu uukose urais halafu uwe unaulilia 'uwaziri wa michezo' kwa mfano
au hata 'ukuu wa mkoa'
huku ni kufanya 'ulafi wa kisiasa'

Mnao tangaza nia mkiukosa huo Urais...msi lobby kwa vyeo vingine.....
 
Back
Top Bottom