Wagombea Urais upinzani kwanini hawawepi Ulinzi toka TISS na secret service?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Mgombea Urais wa zanzibar H. Mwinyi siku alipopitishwa alipewa ulinzi mkali kabisa kama Rais.

Magifuli 2015 baada ya kupitishwa ailipewa ulinzi mkali mara tu baada ya kuteuliwa na chama chake.

Kwanini Wagombea wa Urais kupitia vyama vingine nje ya CCM hawapewi ulinzi toka vyombo husika.

Au vyombo vya ulinzi ni mali ya chama gani?

Kama vyama vya siasa haliruhusiwi kuwa na vikundi vya ulinzi.. nani anawalinda hawa wagombea.

Ipo siku watu waovu tuu wasio litakia taifa hili mema wakafanya tukio na kusingizia serikali ndio imefanya haya.

FB_IMG_1596294321370.jpeg
 
Mbavu black wa jiwe alikuwa slim sana 2015, ila baada ya kuzoea kazi amefutuka vibaya mno.

Ndio, kipindi ana anza nae alikuwa slim..kuna dada mmoja alikuwa ana mtania sana nywele zake zilivyokuwa...

Ila wakiwekwa mtu kati unaona pambano litaisha vipi?
 
Kativa. Katiba. Katiba. Boss wa TISS anateuliwa na Mwenyekiti/mgombea wa CCM . Unategemea nn?
 
Back
Top Bottom