Wagombea Ubunge wa CHADEMA wanapata wakati mgumu kuomba kura

Ccm wanahubiri sana amani itunzwe.lakini wanawambieni ccm ndo itaanzisha Fujo na machafuko ndani ya nchii muda so mrefu.hebu on a hapa mbunge mtarajiwa badala ya kueleza Sera za ccm,anahamasisha Fujo,ona clip hii!
 
Wananchi wawachague ili iweje, wakati wanapinga na kumpinga mwenye maono?.Wanataka watekeleze maono ya Mbowe pasipo dola. Namwelewa Sana Magufuli asemapo, tusiweke magunzi katikati ya betri.
 
Sisi Chadema hatuna haja yakuahidi maji na barabara hatutaki maendeleo ya vitu. Huo ndo msimamo.
 
Chadema ya Lumumba au???
Usimbeze anaweza kuwa huyu hapa chini
IMG_20201004_173712.jpeg
 
Sijui sisi watanzania tulikua wapi kudai tume ya Uchaguzi , majirani zetu Kenya wanashangaa, mgombea ndiye anayeteua wajumbe, wakurugenzi na makamishna wa tume kweli tutegemee mkurugenzi atamwangusha aliyempa ugali?? Tuamke tuamke
 
Dogo ananiambia Kaka aliulizwa huku Nkweseko, Machame jimbo la Hai. Unakataa, barabara, Hospitali, Shule na Kukarabatiwa kwa Shule ya Lyamungo na Chuo cha Ualimu hapa Machame.

SWALI: Jee nyinyi CHADEMA mtatuletea hela tugawane? Au mtatuletea maendeleo kwenye miti, twambieni ili kama ni hivyo tupande miti mingi.

Kaka domo zege.
 
Back
Top Bottom