- Thread starter
- #101
10 September 2020
Dar es Salaam Tanzania
NEC YATOA UAMUZI wa RUFAA 67 za WAGOMBEA UBUNGE na UDIWANI, YAWAREJESHA 45 KUGOMBEA.
.. Tume ya Taifa ya Uchagzui katika kikao chake cha jana tarehe 9 Septemba, 2020 imezipitia, kuchambua na kuzifanyia uamuzi jumla ya rufaa 67.
Kati ya hizo, rufaa 22 ni za Wagombea Ubunge na 45 ni za Wagombea Udiwani.
Maamuzi ya rufaa za wagombea Ubunge ni kama ifuatavyo:-
i. Imekubali rufaa 19 na kuwarejesha wagombea husika katika orodha ya wagombea.

- Rufaa hizo ni kutoka kwenye Majimbo ya Tunduru Kaskazini,
- Mbeya Vijijini,
- Songea Mjini,
- Karagwe,
- Ulanga,
- Chemba,
- Tanga,
- Kibamba,
- Nyasa,
- Same Mashariki,
- Buhigwe,
- Mufindi Kusini,
- Muheza,
- Tabora Kaskazini,
- Ubungo (2)
- na Kigamboni (3).