Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,586
Fomu ni nyaraka ya kisheria (legal document), hakuna mtu anaruhusiwa kuibadilisha pindi kisha kabidhiwa kwa tume.Hata sheria ya uchaguzi hakuna sehemu yoyote inaposema mgombea anyang'anywe haki yake kwa kukosea kujaza fomu.