Uchaguzi 2020 Wagombea Ubunge wa CHADEMA walioenguliwa wapo zaidi ya wiki moja Dodoma Ofisi za Tume ya Uchaguzi

Mwanzi1

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
6,007
2,000
Hata sheria ya uchaguzi hakuna sehemu yoyote inaposema mgombea anyang'anywe haki yake kwa kukosea kujaza fomu.
Fomu ni nyaraka ya kisheria (legal document), hakuna mtu anaruhusiwa kuibadilisha pindi kisha kabidhiwa kwa tume.
 

PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
16,725
2,000
Ikiwa unapelaka fomu yako mguu kwa mguu na unakabidhi ikiwa nje ya bahasha, kila mtu anaona, na unathibitisha kama ni wewe ndio ukiejaza fomu kwa kuweka saini. Huo mchezo imechezwa wapi? Maana nakala ya fomu ipo, kwenye rufani itatolewa. Nani atacheza huo mchezo ambapo anajuwa rungu litamuangukia yeye siku ya rufani.
Nimekuuliza wapinzani ndiyo wanaowaambia wasimamizi wa uchaguzi wafunge ofisi wasiweze kuwasilisha form ?
 

Mwanzi1

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
6,007
2,000
Nimekuuliza wapinzani ndiyo wanaowaambia wasimamizi wa uchaguzi wafunge ofisi wasiweze kuwasilisha form ?
Kuna office gani ilifungwa mwaka huu 2020? Ikiwa tangazo lilishatolewa office zote ziwe wazi siku ya kupokea fomu.
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,590
2,000
CHAUMA yaitaka Tume ya Uchaguzi imalize haraka rufani za wagombea

Hashim Rungwe kiongozi na mgombea urais kupitia chama cha CHAUMA
 

Mwanzi1

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
6,007
2,000
Mlimba.

Kilombero kata...
Nakojua mimi kwenye matatizo kulikuwa moro mjini na rufani iko mezani, lakini hata kwingineko rufani zote zimeshawasilishwa. Hakuna hata jimbo moja lenye kero ambapo rufani haijawasilishwa. Na kama tatizo ni msimamizi, atawekwa kiti moto na yeye ajieleze.
 

PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
16,725
2,000
Nakojua mimi kwenye matatizo kulikuwa moro mjini na rufani iko mezani, lakini hata kwingineko rufani zote zimeshawasilishwa. Hakuna hata jimbo moja lenye kero ambapo rufani haijawasilishwa. Na kama tatizo ni msimamizi, atawekwa kiti moto na yeye ajieleze.
Turudi kwenye hoja ya msingi.

Je, hao wakurugenzi waliambiwa na wapinzani kuwa wafunge ofisi ili wasipokee form ?
 

Mwanzi1

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
6,007
2,000
Turudi kwenye hoja ya msingi .


Je hao wakurugenzi waliambiwa na wapinzani kuwa wafunge ofisi ili wasipokee form ?
Maelekezo yote yalishatolewa na yanajulikana kwamba kila muhusika anayehusika na kupokewa maombi ya kugombea au kutoa malalamiko awepo ofisini muda wowote. Kama kuna mtu kafanya mengine hiyo kesi nyingine na kuna utaratibu wa kurekebisha.

 

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,393
2,000
Vyama vya siasa vinatakiwa kutoa elimu kwa wagombea wao kwa wakati. Mtu anajaza jina lake kwenye sehemu ya tarehe ya kuzaliwa, unategemea msimamizi wa uchaguzi atafanya nini. Kama ni job interview, unategemea utaitwa tena?
Acha uzwazwa hao std 7 waliofeli ccm wamejazana lusinde,msukuma,kishimba,jah people etc wanajua kujaza fomu kuliko wasomi wa upinzani.
Ficha upumbavu wako hakuna ccm aliekosea wote magenius.

Uchaguzi huu mtataga matikiti mpka mzuti utanuke ujinga pelekeni chato
 

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,393
2,000
Pitia maelezo ya Polepole wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, CCM hairuhusu mgombea wake yoyote hata awe na Phd kurudisha fomu kabla haijapitiwa na wanasheria wa chama. Na hao wanasheria wako wengi sana, sasa niambie chama gani mbali na CCM kina utaratibu huo?

CCM ILIANDAA WANASHERIA ZAIDI YA 1200... - WEKA WAZI FIKRA ZAKO | Facebook
2019 huo uchaguzi ulifanya wewe?meko na company yake ni utopolo ubabe wa kutumia police,madc,maded una mwisho wake
 

Mwanzi1

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
6,007
2,000
Acha uzwazwa hao std 7 waliofeli ccm wamejazana lusinde,msukuma,kishimba,jah people etc wanajua kujaza fomu kuliko wasomi wa upinzani.
Ficha upumbavu wako hakuna ccm aliekosea wote magenius,
Uchaguzi huu mtataga matikiti mpka mzuti utanuke ujinga pelekeni chato
Ndio mama kuna wanasheria wa chama wanaowasaidia kuhakikisha kila fomu imekamilika. Pitia post #18
 

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
9,072
2,000
Mungu ibariki CHADEMA.
Mnalitaja jina la Mungu bure.

Mngelikuwa na mipango chanya kwa nchi hii mbona mngebarikiwa!

Waongo
Wazushi
Wapika vurugu.
Majuzi mmechoma ofisi yenu Arusha mkaanza kusingizia dola....
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,590
2,000
5 September 2020
Mbeya, Tanzania

Katika Mkutano wa Kampeni , CHADEMA wasisitiza Tume ifanyie kazi rufani za wagombea


Kufuatia wagombea 10 wa CHADEMA wanaofutilia rufani zao mjini Dodoma kukamatwa na Polisi kwa madai ya kuandamana, CHADEMA watoa kauli juu ya hali hii ya wagombea kunyanyaswa wakati wakifuatilia rufani zao mjini Dodoma.

Hayo yamefahamika wakati Viongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wakiongea katika mkutano wa Kampeni mjini Mbeya wakiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA na viongozi wa Kamati Kuu ya CHADEMA wamesisitiza tena kuiomba Tume ya Uchaguzi ya Taifa kufanyia kazi rufani za wabunge na madiwani walioenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi katika majimbo mbalimbali ya uchaguzi kote nchini Tanzania.
 

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
26,040
2,000
Rabid dogs!
Wagombea wenu wamefanya makosa ya makusudi halafu mnatupigia kelele humu?
Kuunga mkono juhudi sio lazima uchaguliwe halfu ujiuzulu,inapitia taifa hasara,sasa hivi wamekuja na new version!
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,590
2,000
06 September 2020

Zitto Kabwe : NEC shughulikieni Rufani, ili Haki ipatikane, Maana NEC ni waamuzi wa Amani iwepo au la


Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ndiyo ya kuamuwa ikiwa inataka amani ya nchi idumu ama ichafuke kwa jinsi itakavyoshughulikia suala la kuenguliwa kwa mamia ya wagombea wa upinzani nchi nzima, huku akimuonya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro, kwamba hakutakuwa amani pasipo na haki.

ACT-Wazalebdo walipitisha wagombea 168 na ndiyo waliomba kugombea ubunge bara lakini kutokana na sababu mbalimbali walioruhusiwa na NEC kuendelea na kampeni baada ya kupitishwa na Wasimamizi wa Uchaguzi huko majimboni ni 104 tu. Kwa upande wa Zanzibar ktk majimbo 50 .....
Source : Weyani TV
 

PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
16,725
2,000
Maelekezo yote yalishatolewa na yanajulikana kwamba kila muhusika anayehusika na kupokewa maombi ya kugombea au kutoa malalamiko awepo ofisini muda wowote. Kama kuna mtu kafanya mengine hiyo kesi nyingine na kuna utaratibu wa kurekebisha.

Mbona walifunga sasa ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom