Wagombea ubunge wa CHADEMA wale kiapo cha kutohama chama ndani ya miaka 5 vinginevyo ni bora wachaguliwe CCM

Hakuna uwezekano wa hilo kutokea. Hizo mbinu zinatumika ili kuzuia kushitakiwa. AG anateuliwa na rais, tena hata uchaguzi wenyewe huwa ni wa hisani, hapo unategemea nini?
Kwani wewe kama umikidhi vigezo vya kushitaki mahakama itakataa? We unamshitaki kiongozi kupitia kwa Ag. Jambo la kawaida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom