Wagombea Ubunge na udiwani CCM 2020 watatokea vyama vya upinzani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wagombea Ubunge na udiwani CCM 2020 watatokea vyama vya upinzani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MSELA WA MANZESE, Mar 1, 2018.

 1. MSELA WA MANZESE

  MSELA WA MANZESE JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2018
  Joined: Apr 22, 2017
  Messages: 838
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 180
  Baada ya Mtulia kutoka upinzani kugombea ubunge Kinondoni na Dk. Mollel kugombea jimbo la Siha kupitia CCM bila kupitia kura ya maoni na kushinda ubunge wote wawili hakika katika hili itakapofika 2020 itapendeza zaidi pale wale wanasiasa kutoka upinzani wakapewa nafasi ya kugombea ubunge kupitia CCM bila kura ya maoni ili kutoa fursa ya kuona kizazi kipya katika siasa.

  Hivyo watu akina January Makamba, Nape, Wassira, Mwigulu, Lusinde, Mwakiembe na wengine wengi ambao wanategemea kura ya maoni isiwepo apitishwe mtu mwingine aliyehama toka upinzani agombeee na hawa wengine wamuunge mkono kama iliovyokuwa kwa Iddi Azan.

  Hakika katika hili tutaionaa CCM mpya lakini pia tutaonaa maisha mapya ya wana CCM watakaporudi mtaani na kuwa raia wa kawaida.

  Kiukweli wapinzani katika hili tuiunge mkono CCM mpya iliyova koti la upinzani ambapo Wale tuliowezea wakiutakana wapinzani sasa wanahamia kwao na kuwa sehemu ya uongozi.

  Haya ni mawazo yangu tu jamani.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...