Wagombea 25 wa Urais Somalia watoa manifesto

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Wagombea urais wa Somalia wanawasilisha manifesto zao mbele ya bunge, kabla ya uchaguzi wa Jumatatu ambapo rais atachaguliwa na bunge.
120906191433_baarlamaan304.jpg


Wabunge wataamua wanayemtaka kuongoza nchi kati ya wagombea 25.
Waandishi wa habari wanasema rais wa sasa, Sharif Sheikh Ahmed, ambaye ameongoza nchi tangu mwaka wa 2009, ni kati ya wagombea wanaoongoza.
Via http://www.bbc.co.uk
 
ss wasomali wamechoka na vita,alshabab alshaitwan,kua second citizen duniani watajenga nchi yao.GOD BLESS THEM
 
Back
Top Bottom