Wageni weupe

Khalifavinnie

JF-Expert Member
May 19, 2017
2,761
2,311
Hawa ni wageni kutoka kanda kavu juu ya anga,wenye mahusiano mazuri na clone yao ya bustani tengwa(kipande ardhi/dunia)...ni warefu wenye na ngozi yenye weupe mithili ya chaki,wakati macho yao yakiwa ng'aavu kwa rangi mchanganyiko wa samawati kwa manjano...


Wageni hawa maaru kama malaika,miungu n.k,hutembelea maeneo muhimu na maalumu kwa majukumu yao na kuna nchi kadhaa hutambua haya mfn,mataifa ya amerika ya kaskazini,asia,mxico,na kwingineko...


Wageni hawa maumbo yao ni kama binadamu tu ila utofauti ikiwa miili yao ni mikubwa na haswa wakiwa sambamba na mfanano wa watu wa mataifa ya kizungu austria,poland,german,italy,u.k nzima kiujumla nikimaanisha (wazungu wote)wanafanana na wageni hawa....


taarifa za usiri ndizo zenye kuwaficha wageni hawa na kuonekana kama hadithi za pwagu na pwaguzi...
 
Ukifuatilia hadithi za jamii mbalimbali utaona hawa jamaa walikuwa wanapiga sana route pande zao. Sio Amerika ya kusini wala kaskazini yaani dunia nzima walitembea...
 
Tumekuwa wepesi wa kuziita hizi vitu kuwa ni hadithi za pwagu au pwaguzi...
Lakini kwa hizi jamani watabaki kuwaamini hawa raia mpaka kesho.....
 
Huu uzi haujakamilika! Mleta mada taarifa yako ni Kama udaku uliofichwa!,hauna upembuzi yakinifu hivyo umelifedhehesha jukwaa!
Povu tayari
 
Back
Top Bottom