Wageni watata!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Wangapi tuliwahi kupokea mgeni ambaye ameomba umpe hifadhi one night lakini mwisho wa siku wiki,mwezi, miezi ikakatika bila dalili yeyote ya mgeni kuondoka!!,Je?ulitumia mbinu gani kumchomoa?
 
Unamwambia tu ukweli mkuu,unampa nauli ya ukarimu ajikate
 
Wewe usinikumbushe marafiki zangu nashukuru baada ya muda nikahamia hombolo ningekoma

Dawa yao kama umepanga chumba unahama tu kimya kimyaa unasema umeuza vyombo wanasepa
So babe nikija dodoma nikutafute hombolo eh
 
kweli dunia inakwenda mbio,wakati wengine tunaomba tupate wageni wengine wanaomba wageni wakimbie...Wageni ni Baraka,nyumba isiyoisha wageni na wakakirimiwa ni nyumba inayopendwa na Mungu
 
Napenda wageni/mgeni ila asifanye nimuone mzigo ntamchoka haraka, mm nikitembelea kwa watu najiongeza si kawaida
 
Back
Top Bottom