Omukuru
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 242
- 39
Wamehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Kikwete wageni kadhaa kutoka nje ya nchi. Kama matokeo ya uchaguzi yametangazwa jana, ina maana mpaka hapo jana (katika hali ya kawaida ya demokrasia) ni NEC tu ilijua mshindi. Leo mshindi(shwa) ameapishwa. Hao waliohudhuria kutoka nje ya nchi, tena kwa kufuata protocols za uwakilishi wa serikali zao mwaliko waliupata lini?