Elections 2010 Wageni kwenye sherehe za kuapishwa wamealikwa na NEC na Kikwete?

Omukuru

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
242
39
Wamehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Kikwete wageni kadhaa kutoka nje ya nchi. Kama matokeo ya uchaguzi yametangazwa jana, ina maana mpaka hapo jana (katika hali ya kawaida ya demokrasia) ni NEC tu ilijua mshindi. Leo mshindi(shwa) ameapishwa. Hao waliohudhuria kutoka nje ya nchi, tena kwa kufuata protocols za uwakilishi wa serikali zao mwaliko waliupata lini?
 
You are genius..hilo swali nimekuwa nikijiuliza siku nzima lakini wasilani sikupata jibu..
Hawa majangili walikwisha kupanga matokeo siku nyingi, hivyo kujiamini kuwataarifu waliohudhuria.
Nadhani hata wao imani zinawasuta..
Maadam wako kwenye same platform ndiyo maana wanapeana support..
Nadhani kati yao wote, hakuna aliye msafi!
 
Wageni hao hukaribishwa na waziri wa mambo ya nje anayemaliza muda wake kwa niaba ya rais. Kumbukeni hakuna wakati wowote ambapo nchi inakuwa haina rais. Kwa hiyo hata kama hiyo jana angetangazwa Slaa, wangekuja kama walivyokuja. Sio wageni wa Kikwete, ni wageni wa rais.
 
Wamehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Kikwete wageni kadhaa kutoka nje ya nchi. Kama matokeo ya uchaguzi yametangazwa jana, ina maana mpaka hapo jana (katika hali ya kawaida ya demokrasia) ni NEC tu ilijua mshindi. Leo mshindi(shwa) ameapishwa. Hao waliohudhuria kutoka nje ya nchi, tena kwa kufuata protocols za uwakilishi wa serikali zao mwaliko waliupata lini?

madhalimu huishi kwa kunusa harufu ya dhalimu mwenzao
 
Wageni hao hukaribishwa na waziri wa mambo ya nje anayemaliza muda wake kwa niaba ya rais. Kumbukeni hakuna wakati wowote ambapo nchi inakuwa haina rais. Kwa hiyo hata kama hiyo jana angetangazwa Slaa, wangekuja kama walivyokuja. Sio wageni wa Kikwete, ni wageni wa rais.

hoja hapa sio wageni ni wa nani? jitambue swala la msingi hapa kuna mambo ya logistics kma vile booking kwa ajili ya ugeni na ikumbukwe nec hawakuwa na dead line ya kutangaza matokeo yao it is a shame! there was something fish going on btn ccm and nec! soon and very soon you will get what you deserve poor ccm!:doh:
 
unajuaje kama slaa angetangazwa sherehe zingekuwa jmosi? haraka ya nini?
 
Wageni hao hukaribishwa na waziri wa mambo ya nje anayemaliza muda wake kwa niaba ya rais. Kumbukeni hakuna wakati wowote ambapo nchi inakuwa haina rais. Kwa hiyo hata kama hiyo jana angetangazwa Slaa, wangekuja kama walivyokuja. Sio wageni wa Kikwete, ni wageni wa rais.

Mkuu,
watu waangalifu hawaendi kichwa kichwa!
Ndiyo maana umeona wengi wamekacha na kupeleka subordinates.
 
hoja hapa sio wageni ni wa nani? jitambue swala la msingi hapa kuna mambo ya logistics kma vile booking kwa ajili ya ugeni na ikumbukwe nec hawakuwa na dead line ya kutangaza matokeo yao it is a shame! there was something fish going on btn ccm and nec! soon and very soon you will get what you deserve poor ccm!:doh:

Tangu siku ya uchaguzi ilikwishapangwa leo ndio siku ya kumwapisha isipokuwa kama lingetokea tatizo kubwa sana. Sasa kwa sababu hapakutokea tatizo lolote la ajabu, maandalizi yakaendelea. Maandalizi hufanywa na wizara na sio ikulu.
ASIYEJUA MAANA, HAAMBIWI.......
 
nimefurahi kumuona mugabe, kibaki na zuma kwani wanafanana na jk
 
Kuna mtu anaweza akatupatia sample ya huo mualiko unakuaje?

Manake bado naona utata mwingi hapo...!
 
Back
Top Bottom