ndugu zangu kuna maeneo mengi nimefanya uchunguzi na kubaini wageni wanafanya kazi hata bila kibali cha nchi cha kazi ( working permitt)
je ndugu zangu hili mmeshaliona? au na serikali yetu ipo au haijapata taarifa . tufanyeni uchunguzi ili tuisaidie serikali kuwafichua hawa watu ili tuwe wazalendo wa kweli.