Waganga wa kienyeji wa kumpa mtu utajiri kwa masharti siku hizi hawapo?

miami0101

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
1,336
1,271
(i)Katika pitapita zangu kwa hawa mafundi mbalimbali nimegundua sikuhizi hamna wale waganga kama tuliokua tunawasikia zamani (wanaoweza kumpa mtu utajiri kwa masharti)

(ii)Pili nimegundua waganga wengi ni waongo na wapiga pesa tu hawasaidii chochochote

(iii)nimegundua kua kila mganga ana kitu alichobobea,hawezi kufanya mambo yote, utampata ambae anajua sana masuala ya kukusaidia katika masuala ya kesi,lakn vingne hamna kitu.. mfano mimi katika pitapita zangu nimewahi kukutana na mtaalamu mmoja,huyu ni master sana wa mambo ya mahusiano, huyu hashindwi na kitu kinachohusu mahusiano ya kimapenzi ni mnoma sana wa hayo mambo, lakin ukija suala la kumnyooshea mtu maisha ni mtihani kwake.

Hawa waganga wa kumpa mtu utajiri wa pesa za moto walikufa wote auvipi? Wanapatikana wapi?
images-1.jpeg
images.jpeg
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    12.6 KB · Views: 162
Achana na hayo mambo, yanini uishi maisha yenye masharti? utatajirika leo ila baadae utafilisika ama kufa kifo cha mateso sana, tumrudie Muumba wetu pekee, kama ameweza kutupa uhai na pumzi, mvua zinanyesha twapata chakula, je! kuna mengine ya msingi zaidi ya haya?

Ishi maisha huru yenye furaha, shetani huvuta kwa ofa kama hizo lakini utamlipa uhai wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Mtumishi

Back
Top Bottom