Waganga feki wahaha kutafuta wateja kwa nguvu

TEAM VIBAJAJI

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
1,858
2,286
Habari zenu wakuu
Naomba nisiwachoshe kilichonileta hapa mbele yenu nikuwajuza uwepo wa hawa waganga feki wanaolazimisha wateja kwanguvu.
Muda simrefu nimepokea sms kutoka kwa anaye jiita babu mwenye namba 0753460188 akijifanya alikua anamtumia rafiki yangu ambaye nimmiliki wa mabus hapa nchini akimpa lawama kuhusu mimi kwamba baada ya kunipa utajiri kwasasa simjali tena kama anavyo fanya huyo rafiki yangu hivyo amemwambia aje anipetahadhali kwamba siku sionyingi mali zangu zitaanza kuteketea na nikabaki bila kitu hivyo natakiwa nimtafute tukayajenge kitu ambacho sio cha kweli.
Hivyo basi naomba tuwe makini na watu wa namna hii kwani niwatu wanaonekana kutumia muda wao mwingi kupata taarifa zako pindi wakikuhitaji kwani kwawalivyo elezea nidhahili kwamba niwatu wanao nifaham.
Nihayo tu wakuu
 
Wala wasihangaike....waseme wamegundua chanjo ya kuongeza dushe...pia kuna dawa ya kuibana papuchi....sasa hivi ndio vitu vyene kick
 
Huyu alinitumia Mimi pia, aliniambia yupo Sumbawanga Na alijifanya anamtumia ujumbe mteja wake ila ulikuja kwangu kwa bahati mbaya.
 
Tulia upewe utajiri wewe kelele za nini na hujala!

Mitayari nilishapiga zakwangu sasa anadai yeye ndiye aliye nipa utajiri alafu nimemtosa hivyo anataka kuniharibia ilikilakitu kisambaratike....akashindwe nakulegea katika jiiiiiina la Yesu kristu mwana wa nazareti aliye hai
 
Msg kama hiyo nilishaipata kama mara 2. Nikazipotezea... Sijui wanapata vipi namba za watu
 
Huyu alinitumia Mimi pia, aliniambia yupo Sumbawanga Na alijifanya anamtumia ujumbe mteja wake ila ulikuja kwangu kwa bahati mbaya.

Basi atakua na mtandao mkubwa maana mimi kanitaja kwajina langu ambalo nilikua nikiendeshea biashara na baada ya kubadili biashara pia anajua ninacho kifanya kwasasa inaonekana nimpelelezi mzuri
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Hiyo meseji kashatumia sana mke wangu, ilikua kila wiki lazima itaingia mara mbili, ila bahati mbaya kwang walikwaa kisiki... Maani*a zao , hao jamaa ni matapeli, wife walimlete stori za kumsaidia super feo..

Watawapiga mafala , hakuna utajir wa mteremko ivo
 
Ila waganga wamekula sana hela zangu ***** zao.ila SAA hivi nimeacha huo ujinga.
 
Habari zenu wakuu
Naomba nisiwachoshe kilichonileta hapa mbele yenu nikuwajuza uwepo wa hawa waganga feki wanaolazimisha wateja kwanguvu.
Muda simrefu nimepokea sms kutoka kwa anaye jiita babu mwenye namba 0753460188 akijifanya alikua anamtumia rafiki yangu ambaye nimmiliki wa mabus hapa nchini akimpa lawama kuhusu mimi kwamba baada ya kunipa utajiri kwasasa simjali tena kama anavyo fanya huyo rafiki yangu hivyo amemwambia aje anipetahadhali kwamba siku sionyingi mali zangu zitaanza kuteketea na nikabaki bila kitu hivyo natakiwa nimtafute tukayajenge kitu ambacho sio cha kweli.
Hivyo basi naomba tuwe makini na watu wa namna hii kwani niwatu wanaonekana kutumia muda wao mwingi kupata taarifa zako pindi wakikuhitaji kwani kwawalivyo elezea nidhahili kwamba niwatu wanao nifaham.
Nihayo tu wakuu
Hata mm niliwahi kuiona sms ya aina hiyo kwa jamaa yangu mmoja. Tuliwapigia na tukawasemea mbovu sana wakaishia kutuomba msamaha . ovyo sana hao tena hawana huruma
 
Daaah hata mimi ninepata hiyo msg ya babu kwa namba hii 0763245305. Kanitumia mara ya kwanza nikspitezea akakaa kama mwezi kanitumia tena jana. Ajabu sijui huyu anayejiita mganga katoa wapi no yangu.
 
Lazima anakua anashirikiana na watu wanao kufaham
 
Habarini wakuu..!

Poleni na mihangaiko ya hapa na pale kwaajili ya kujenga maisha yenu.

Kama mnavyojua siku hizi kumekuwa na meseji tunazotumiwa kutoka kwa watu wanaosema wamesaidiwa na waganga wa jadi nakupata mafanikio na nyingine zikiwa ni za watu wanaosema wenyewe ni waganga wa jadi na wanasaidia watu kupata mali na utajiri. Mara nyingi hizi meseji zimekua ni kama zinatumwa kimakosa lakini kwa sasa imekuwa ni too much. Mfano .. tangu juma pili hadi sasa nimepokea meseji za namna hyo zaidi ya mara tatu.
Je hawa watu wanapata wapi namba zetu za simu?
Je kunauwezekano wakawa wanahusiana na watu wa mitandao ya mawasiliano?
 
Utaibiwa hadi ujinyee
 
Back
Top Bottom