Waganda hii sasa misifa

Wakati Waganda wameenda Misri kuweka kambi na kucheza mechi za kirafiki (wanafanya maandalizi)

Sisi Watz tunakusanya wasanii na watu maarufu kusema "NI ZAMU YETU" (Tunafanya hamasa)

Ngoja tusubiri tuone nini kitashinda kati ya MAANDALIZI na HAMASA
Ebwana heee!! Awajama wanapenda sifa bwana kama mnavyojuwa timu yao ya taifa imeishafuzu kwa point 13 kiasi kwamba ata tukishinda au lesotho kushinda atuwezi isogelea kileleni ata kidogo.

Ajabu sasa timu imeweka kambi misri nakama haitoshi wamecheza na mechi ya kirafiki yani utafikili wanakwenda kucheza mechi ya ufunguzi world cup.

Leo sasa nikiwa mpakani mtukula jamaa wamekodi basi nne za friends full bendera ya taifa full vuvuzela eti wanakuja dar kushangilia timu.Sasa najiuliza hii mijamaa inamalengo gani na sisi mpaka watufanyie hivi? au labda kunasehemu tuliwakwaza tukawaombe samahani ata kesho kabla ya mechi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Waganda wameenda Misri kuweka kambi na kucheza mechi za kirafiki (wanafanya maandalizi)

Sisi Watz tunakusanya wasanii na watu maarufu kusema "NI ZAMU YETU" (Tunafanya hamasa)

Ngoja tusubiri tuone nini kitashinda kati ya MAANDALIZI na HAMASA

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri nawewe ulibebe kama lilivyo usipunguze wala kuongeza kitu " nizamu yetu".
 
Back
Top Bottom