Wafurika stendi ya mabasi Ubungo, wakosa usafiri

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,804
2,000

Abiria wamefurika stendi ya mabasi ubungo na wengi wamekosa usafiri
wengine wamelalamika kupandishiwa nauli tofauti na nauli za kawaida
Angalau watu10 wamekamatwa na polisi kwa kuzididisha nauli
 

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,884
2,000
Aisee, kumbe watu walikuwa hawataki kuwahi kwenda home, walivia siku za sikukuuu zikaribie ndio wasafiri!!!!
 

mdetichia

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
5,298
2,000
Inabidi Serikali ifufue train ya moshi ili kuwasaidia usafiri wa uhakika watu wa kaskazini
Ishaanza kufufuliwa mdau chini ya serikali ya awamu ya tano na zile nyumba za t.r.l zishaanza kufanyiwa ukarabati ikiisha ile ya mwanza inayofuatia ni hii ya dar Moshi hapa mpaka kuku wataenda kula bata amini hivyo vizuri vyaja.
 

leiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
615
1,000
Hawa watu huwa wananifurahisha sana na hii falsafa yao ya kwenda huko kaskazini. Sijui kuna kipi cha mno huko. Basi sawa, ngoja wakirudi watujuze maana huwa wanaacha hali ya biashara vibaya huku mjini hata baada ya kufunga vibanda vyao.
 

mdetichia

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
5,298
2,000
Hawa watu huwa wananifurahisha sana na hii falsafa yao ya kwenda huko kaskazini. Sijui kuna kipi cha mno huko. Basi sawa, ngoja wakirudi watujuze maana huwa wanaacha hali ya biashara vibaya huku mjini hata baada ya kufunga vibanda vyao.
Hahaaaa aliyepewa kapewa eti vibanda vyao mkataa kwao mtumwa wewe yaani ujenge nyumba nzuuuri mji uwe na mahitaji yoote halafu sikukuu uje ulie mjini kaeni na mivumbi yenu kama hujajenga kwenu ni utashi wako mwenyewe mtuache .
 

Mwandumi

Senior Member
Nov 30, 2016
150
225
Watu wanakaa tu utasikia hali ya uchumi mbaya watu hawawezi safiri .watu wanajiandaa mapema tatizo hatuna utaratibu wakulipia nauli mapema
 

Mwasita Moja

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,906
2,000
Si chadema wanasema watu hawasafiri kwa sababu maisha magumu, magufuli amebana??

Kila hoja wanayodandia bavicha wanaishia kuaibika tu,

Shame on you bavicha shetani yupo upande wenu awamu hii.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom