Wafungwa wafika bei, kwa hiyo watafungwa 4 na tatu ni za manywele

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
1,359
2,165
Mchongo mzima tayari tumeupata na mtu anakufa 4 .

Huu ni mwendelezo wa michezo ya kuigiza ambayo kwa kiasi kikubwa inawezeshwa na watu wanaojulikana kuumiza uchumi wa nchi hii.

Kila la heri nadhani sasa hivi ni kutengeza rekodi za mchongo hadi Afrika ijue
 
dem boy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
4,569
11,777
Mchongo mzima tayari tumeupata na mtu anakufa 4 .

Huu ni mwendelezo wa michezo ya kuigiza ambayo kwa kiasi kikubwa inawezeshwa na watu wanaojulikana kuumiza uchumi wa nchi hii.

Kila la heri nadhani sasa hivi ni kutengeza rekodi za mchongo hadi Afrika ijue
eeh MAKOLO malalamiko mmezidi c mngeenda FIFA hizi kelele humu zinasaidia nn?umbwa mmoja mla ugali kachumbari umeshashiba unaropoka,wewe ujue Yanga ananunua mechi babra na try again wasijue kweli...km umbwa wewe unajua Yanga ananunua mechi viongozi wako pia wangejua na wangepeleka mchongo mezani FIFA Yanga ingeshushwa daraja kwanini msifasnye ivyo mpate faida?

Kwa maisha hayo mliyojizoesha siku hizi ubingwa nyie sahauni atleast kwa misimu km saba hv na msimu huu mnamaliza ligi nafasi ya 3 au 4 mpk siku mtakapoamka na kujua mna matatizo na mnahitaji kuyatatua wenyewe na sio kulalamika km mwanamke kanyimwa kodi ya meza
 
rallphryder

JF-Expert Member
Jan 24, 2015
3,602
1,343
Mchongo mzima tayari tumeupata na mtu anakufa 4 .

Huu ni mwendelezo wa michezo ya kuigiza ambayo kwa kiasi kikubwa inawezeshwa na watu wanaojulikana kuumiza uchumi wa nchi hii.

Kila la heri nadhani sasa hivi ni kutengeza rekodi za mchongo hadi Afrika ijue
Ma Nina zako, hata kwa Ihefu mlianza ujinga wa Kuandika upumbavu kama huu
 
tony92

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
1,847
2,593
Kuna watu unaweza waheshimu kabisa lakini akiandika huku ni🚮🚮
 
Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
1,359
2,165
Ma Nina zako, hata kwa Ihefu mlianza ujinga wa Kuandika upumbavu kama huu
Mna uwezo wa kubuni na kutengeneza mapicha picha!
Unawezaje kumwahidi mpinzani eti akikufunga anapata 20M?

Kwa hivyo mmefanikiwa kuwafanya wafungwa kama mandonga?Akipigwa kama kapiga tu na akishinda,kashinda tu.

Mtawafanya wacheze kama mashoga maana wakiwapiga,wanakula hela,wakipigwa wanakula hela zaidi.
 
Toxic Concotion

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
4,425
13,663
We ni mpumbavu

Yanga akishinda kanunua Ila simba akishinda uwezo.

Hivi toka 2019 simba kapewa kiasi gani na yanga ili awe anafumuliwa Malinda tu?
Huwa anafumuliwa bure sababu ni teja. Akipewa quarter tu ya kunusa anaachia tuzi🤣🤣
 
Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
1,359
2,165
Huwa anafumuliwa bure sababu ni teja. Akipewa quarter tu ya kunusa anaachia tuzi
User name ni kama unatamani tukutambue na ka usomi uchwara fulani,lakini tatizo ukiwa utopolo akili huwa hakuna unatangaza ujinga wako hata kwenye id yako
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
61,238
124,714
Simba anacheza mpira hafanyi maigizo ya mpira.
Na mpira una matokeo matatu.

Ninyi waigizaji mnachojua ni sifa tu lakini za mchongo.
Nyie mkifungwa inakua mpira una matokeo matatu,
Wengine wakifungwa inakua ni magoli ya mchongo.
 
10 Reactions
Reply
Top Bottom