Wafungwa kuwa na simu za kiganjani!

Nyani Ngabu said:
Ebana Joka vipi babu? Sasa mkuu vipi "ze dataz" za Salim?

Nyani Ngabu,

..dogo hukuii?

..anzisha thread basi ya "ze dataz" za Salim labda unaweza kusaidiwa.

..ukiendelea hapa utakuwa unavuruga mjadala wa watu.
 
Nyani Ngabu,

..dogo hukuii?

..anzisha thread basi ya "ze dataz" za Salim labda unaweza kusaidiwa.

..ukiendelea hapa utakuwa unavuruga mjadala wa watu.

Kwanza acha dharau. Huwezi kuniita dogo. Hunijui na hujui nina umri gani na ninafanya nini for a living.....tafadhali acha kuniita dogo.

Pili, kuna thread moja ilianzishwa lakini hukutokea...

Ukinihakikishia utakuja basi ntaanzisha....
 
Nyani Ngabu said:
Kwanza acha dharau. Huwezi kuniita dogo. Hunijui na hujui nina umri gani na ninafanya nini for a living.....tafadhali acha kuniita dogo.

Pili, kuna thread moja ilianzishwa lakini hukutokea...

Ukinihakikishia utakuja basi ntaanzisha....

Nyani Ngabu,

..acha jazba. mtu akikuita dogo haimaanishi amekudharau.

..kama una usongo sana na "ze dataz" za Dr.Salim Salim anzisha thread.

..tafadhali heshimu thread ya watu. mambo ya SAS siyo mahala pake hapa.
 
Sasa mtu akikuita dogo anamaanisha nini?
 
Haya tena makubwa.sasa waJF msije kushangaa tukiambia simu iliyotumika haijulikani ni ya nini.hapa askari magereza wanahusika kabisa.lazima wanawekewa vocha na wafungwa then wanaongea na ndugu jamaa na marafiki.Mi napenda kumshukuru huyu mwanahabari mana tusingejua haya.
 
Mheshimiwa Nanyaro anasema kuwa rufaa ya Mramba na Yona haikumalizika siku ile ya tarehe 28/11/08 hivyo ilibidi waletwe Mahakama Kuu kumalizia rufaa yao siku ya Jumatatu tarehe 1/12/08. Akaongezea kuwa kwa kuwa akina Mramba walimaliza shughuli zao pale Mahakama kuu basi ilibidi wapelekwe pale Kisutu watafutiwe mahali salama wakae wakisubiri watuhumiwa wengine wamalize kesi zao pale Kisutu ndo warudishwe Keko na hawakwenda kisutu kwa ajili ya dhamana. Hii ni kwa mujibu wa bwana Nanyaro. lakini kwa ufahamu wangu mimi, mtuhumiwa amalizapo shughuli zake na Hakimu/Jaji, na akatakiwa kurudi mahabusu, basi hurudishwa mahabusu ndogo pale mahakamani kusubiri gari (karandinga, siku hizi kuna marco polo) la kuwarudisha keko, ukonga segerea etc Hayo yote alitaka kujitetea tu. Issue atuambie watu walipataje simu huko gerezani na niwafungwa sio mahabusu. Ama wanawapeleka mjini kufanya shopping halafu wanawarudisha tena huko gerezani?

Mjinga huyu Nanyaro na nadhani naye ana akili za kifungwa fungwa vile maana ukifungwa wanakuwa wamefunga akili yako pia.
Pale Kisutu kwa Hakimu Mwakenja walifuata nini kama ilikuwa ni issue ya kupelekwa mahabusu?
Ilikuwaje hakimu awafukuze kwamba sikuwaita kama suala lilikuwa ni kupelekwa mahabusu tu?
Hivi huyu mjinga anadhani sisi ni wadanganyika bado?
 
Back
Top Bottom