Wafugaji wamchinja mkulima

hans79

JF-Expert Member
May 4, 2011
3,800
430
Pana taarifa ya kuwa wafugaji wa kimasai wamemchinja mkulima na maiti yake kuiweka barabarani huko Kilosa. Chanzo ni wakulima waliweka dawa kwenye mashamba yao ili yasiliwe na wanyama, kwa hiyo ng'ombe wa wafugaji wamasai walikufa baada ya kula mazao hayo. Mwenye taarifa zaidi aeleze.
 
GreaThinkers.

Tusiangalie tulipoangukia, SomeOne has to accoungtable, Wamasai na Wasukuma asili yao wala siyo Moro wamepelekwa tu kule.
Je Serikali iliandaa eneo lao rasmi la kufugia? Hawa watu wala hawakujuana miaka kumi iliyopita, lakini kutokana ana mipango mibovu tuliyonayo nchini tunaweka sera mbovu ambazo imapct yake ni kama hii. Watu wengi wanakufa na kupata vilema vya maisha kwa nn hakuna hatua maridhawa zinazochukuliwa???

Mm siwakumbatii wahalifu lakini niaonacho source ya haya yote siyo wao.:focus:
 
waache wauane tu bhana , maana viongozi wao wanahangaika na hujuma kwa cdm ! hatuna cha kuwasaidia .
 
Back
Top Bottom