Pana taarifa ya kuwa wafugaji wa kimasai wamemchinja mkulima na maiti yake kuiweka barabarani huko Kilosa. Chanzo ni wakulima waliweka dawa kwenye mashamba yao ili yasiliwe na wanyama, kwa hiyo ng'ombe wa wafugaji wamasai walikufa baada ya kula mazao hayo. Mwenye taarifa zaidi aeleze.