Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Sable
images%20(11).jpg
 
Wakuu...
Kwa anayefahamu utaratibu wa kuwapa mbwa chanjo , kwa mbwa wadogo Hadi wakubwa ,na aina za chanjo .Anisaidie
 
Female GSD
4 months
Bunda,Mara
 
Attachments

  • IMG-20200928-WA0009.jpg
    IMG-20200928-WA0009.jpg
    114 KB · Views: 27
  • IMG-20200928-WA0006.jpg
    IMG-20200928-WA0006.jpg
    103.3 KB · Views: 26
  • IMG-20200928-WA0008.jpg
    IMG-20200928-WA0008.jpg
    108.9 KB · Views: 25
Mkuu nina eneo fulan lik wazi kma square metre 250 huko kimara golani, nataka nifuge mbwa wa kibiashara mwakani nikiwa na kma milion 5(kwa ajili ya puppies na vyakula vyao mpaka uzao wa wwngine kuwauza) je itatosha hpo tayari nikiwa nimeshajenga mabanda yao kma matatu hvi yenye nafasi ya upana wa mita 2 kwa 2 kila moja, je hyo bajeti itatosha kwa mbwa wapi ambao ni rahisi kununulika na wasio na gharama kubwa??
Dr. Chuma 0754374013
 
Mkuu usitafute mbwa rahisi bali mbegu bora hutojuta.
Kwasasa German shephard aina ya seble haitakuangusha kwa soko

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mbona sioni picha za mbwa Koko wetu?

Acha kupenda vitu vya mabeberu chief na kudharau vya kwako.

Achaaa.
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Mbona sioni picha za mbwa Koko wetu?

Acha kupenda vitu vya mabeberu chief na kudharau vya kwako.

Achaaa.
Unaonaje ufungue mbwa wa kabwela?
Hapa ni mbwa kibiashara.
Kama hao nao wanalipa tupe mbinu mkuu.

Hivi kwanini mnaogopa mabeberu?
Kumwita mwanaume mwenzio beberu unajishusha...kwani wewe jike?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mie nafugaga hii mijibwa ya uswazi (koko)
Yenyewe hayana gharama ya misosi maana yanakula chochote yanachokiona hata mavi ya walevi.!
Halafu wakiwa wengi huwa tunaua kisha tunawachuna na kuwapelekea wauza supu wa bar wao huchanganya na nyama ya mbuzi ili kuleta kale kaharufu ka kimbuzimbuzi kisha hupikwa supu na kuuziwa wateja.
kavu sana we jamaa

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom