Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
4,676
6,839
Mpendwa mwana JF, unaweza kushangaa kusikia kuwa mbwa ni biashara nzuri kupita hata kufuga ng'ombe kibiashara na ukashangaa.

Uzi huu utakuwa ni maalum katika kupeana uzoefu katika biashara hii ya kufuga mbwa kwa lengo la kujipatia kipato na ulinzi pia.

Tutajifunza aina bora na inayohimili mazingira yetu hasa Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

Hivyo mdau ikiwa wewe ni mfugaji wa wanyama hawa kibiashara, nakukaribisha sana utupatie uzoefu juu ya aina mbali mbali mfano;

a) German shephard
b) Belgian shephard
c) Bull dog
d) Rottweiler
e) Ridge back nk

mambo muhimu ya kupeana uzoefu;
1) banda/ nyumba bora ya kufugia
2) chanjo
3) Masoko nk

View attachment 916841 View attachment 916842 View attachment 916844Ni nakukaribisha utupe uzoefu wako na kwa wale wanaotamani kujifunza mnakaribishwa kwa maswali na wadau watakujibu


Maelezo ya German Shepherd hapa

Maelezo ya Belgian Shepherd hapa
Je sisi tunaofuga hii mijibwa koko ya kwetu uswahilini ambayo inashinda huko majalalani kula mavi ya walevi
Tunakomenti humu humu?
 

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
2,083
4,014
Nikitaka kufuga mbwa nianze na yupi?

nataka mbwa msafi mwenye sura nzuri.
Anza na kama huyu. Ninampenda sana, my DUMA!

YESU NI BWANA
IMG_20221120_082420_089.jpg
 
11 Reactions
Reply
Top Bottom