Kawaida kifaranga cha jogoo kinakua size kubwa zaidi na pia vinachelewa kuota mikiaTujadili kuhusu kuku wa kienyeji
-Naanza kwa kuuliza hivi unamgunduaje jogoo angali kifaranga?
-Tunaambiwa mdondo hauna tiba, je inachukua muda gani kuku akishapatwa na ugonjwa huo?
Tujadili kuhusu kuku wa kienyeji
-Naanza kwa kuuliza hivi unamgunduaje jogoo angali kifaranga?
-Tunaambiwa mdondo hauna tiba, je inachukua muda gani kuku akishapatwa na ugonjwa huo?
Ukifuatilia Sana utagundua katika mpangilio wa chanjo za kuku Newcastle haimo kwa kuku wa kienyejiNi kwel newcasttle aina tiba km unavojua magnjwa mengi ya virus ayanaga tiba zaida ya chanjo ila kuna dawa kama limocin OTC 50% znasaidia kupunguza athari zake na ufanya kuku kupona
Wakate midomoNaomba kujua sababu ya kuku kula mayai na Nini tiba yake
Wape dawa mafua kuku nao huwa wanapata mafua,pia jitaidi kuwapa chanjo wakiwa wadogoMimi kuku wangu wanakuwa kama wana mafuwa wanakoroma na kupiga chafya. Tatizogani na matibabu yake ni gani jamani?
Kuku wa umri gani mkuu?Wakuu msaada wa haraka kuku wangu wanapumua kwa shida na wanapumulia mdomo wanatoa mlio Kama wa filimbi au mluzi
Ugonjwa gan huu?
Dawa gan nitumie?
Sababu ya kuku kula mayai n kama ifuatavyo.Naomba kujua sababu ya kuku kula mayai na Nini tiba yake
Mkuu wa kienyeji umri miez 9 tatizo Lina siku ya 3 bado sjapata vifoKuku wa umri gani mkuu?
Wa kienyeji au wa kisasa?
Tatizo lina muda gani?
Mkuu funguka maana mm nawafuga TU kiholela wanafka hata 100 kwa SasaNafuga kuku wa kienyeji nilichojifunza ni kuwapa chanjo zote chakula ,maji na vitamins wanataga vizuri na wanakuwa na nyama