Wafugaji wa kuku wa kienyeji tukutane hapa

Binafsi vifaranga wa kuku wakienyeji wakianguliwa huwa natunza ndani tu na mama yao ili nioate muda wa kuwa observe sana maana huwa sio mdau mzur wa chanjo.
Kila asbh lazima niwatazame nikiwaona kama wanaanza kusinzia huwa nawapa amoxyline hii ya kawaida kwa kuwachanganyia kwenye maji.
Nikiwaona wanaanza kuharisha au kunya kinyesi chenye weupe pia nawapa antibiotic (amoxyline) hata kuku wakubwa nikiwaona tu wanaanza mafua mafua pamoja na vinyesi vyeupe fasta nawatilia amoxyline kwenye maji.
Basi ndio nasonga nao kihivyo so far
 
Kuku sasso wanauzwa
Umri miezi3 na wiki3.
Wako120,
Bei ni 12000,
Location Ushirombo.
Kama mteja ni wa mbali atapunguziwa bei ili abakie na nauli ya kusafirishia. 0629306194 karibuni
IMG-20211122-WA0005.jpg
 
UFUGAJI WA KUKU.
Wakuu habari ya leo.
Naomba kujua/kuuliza suala moja.
Kuku wa kienyeji anaweza kuhatamia mayai kwa muda gani? Mfano niliwawekea mayai ya Kanga na wamelalia kwa siku 28 lakini hakuna kitu, hivyo nilitaka kuwabadilishia kuweka ya Kuku, je wanaweza kuhatamia mpaka mwisho?
Naomba kufahamishwa tafazali.
 
UFUGAJI WA KUKU.
Wakuu habari ya leo.
Naomba kujua/kuuliza suala moja.
Kuku wa kienyeji anaweza kuhatamia mayai kwa muda gani? Mfano niliwawekea mayai ya Kanga na wamelalia kwa siku 28 lakini hakuna kitu, hivyo nilitaka kuwabadilishia kuweka ya Kuku, je wanaweza kuhatamia mpaka mwisho?
Naomba kufahamishwa tafazali.
Kuku n siku 21 had 23 TU zaidi d ya hapo Kuna shida

Niliwah wawekea mayai ya kanga wa porin walitotoa ndan ya siku 25 japo s yote katika 10 alitoa 8

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nauza kuku aina kuroiler
Wanamiezi miezi miwili na nusu wamepatiwa chanjo zote na wastani wa uzito ni kilo 2 mpaka 3
IMG-20220330-WA0006.jpeg
IMG-20220330-WA0007.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom