Wafuatao wajiandae kuzongwa na dola ili wajiunge CCM

Chadema wamekimbiza sana huko kitaa na usajili wa kidigitali. Viongozi wa jumhia za Chama hiki wanafanya kazi kubwa sana na wameibua wananchi kuamka hasa wanawake kuitafuta haki.

Kwa namna ambavyo viongozi Hawa wamejizolea umaarifu lazima wataaza kukamatwa na kuteswa kisaikologia wapunguze Kasi au walipwe ajira serikalini wajiunge chama Tawala. Wafuatao niviongozi ambao ni wageni kwenye siasa na hawajawahi kutingishwa imani yao;
1. John Pambalu anaupiga mwingi Sana
2. CPA Catherine Ruge, ametisha Sana kwenye nafasi yake kuliko hata akina Mdee

Siku si nyingi kamata kamata itaanza maana safu ya CCM imekosa agenda na nguvu yakusimama jukwaani kuzungumza na walalahoi. Hadi leo si mbunge wa CCM Wala kiongozi mwingine ambaye ameonyesha kusimama na machinga na bodaboda, Wakina mama wanapitia mateso na vijana hawana ajira ila viongozi wote wa CCM wamekalia kusifia......watu Wana njaa mnataka kuwaaminisha wameshiba?
Naona mmeanza kujiuza,
 
CCM ni jungu kuu.....

Awamu ya 6 ina AJENDA lukuki....

CCM hii haina haja ya kuokoteza huko usemako.....

Siempre JMT
MaCCM wote akili zenu hazina akili . Unanikumbusha bi, dada Cocochanel , au ni wewe ,ndio kila awamu na ID yake.?!
Banaga akikusikia unamwita ”WAKUOKOTWA /WAKUOKOTEZWA” atatoka JEHANAMU aingie motoni , maana PEPONi atakusikia tu kama MaCCM wengine wote.
 
upumbavu mtupu, CCM haina nguvu kama inavyofikiria, vyama vya siasa vinakuja na kuondoka, hata wamachinga wakiamua kuindoa CCM madarakani wanaweza, imagine machinga milioni moja wanaandamana na kupiga camp katikati ya jiji na kutaka raisi ajiuzuru, utaua wangapi? utatoka tuu...pumbaf sana CCM hamna nguvu kama mnavyofikiria wenye nchi wakiamua mtoke mtatoka tuu
Shida inakuja mkuu pale anapokosekana wa kujitoa muhanga! Unafikri nani yuko tayari kufa kwa ajili ya wengine? Hao milioni wote wangekuwa na roho ngumu wanasema liwalo na liwe inawezekana! Lakini sasa mmmmmhhh!
 
Chadema wamekimbiza sana huko kitaa na usajili wa kidigitali. Viongozi wa jumhia za Chama hiki wanafanya kazi kubwa sana na wameibua wananchi kuamka hasa wanawake kuitafuta haki.

Kwa namna ambavyo viongozi Hawa wamejizolea umaarifu lazima wataaza kukamatwa na kuteswa kisaikologia wapunguze Kasi au walipwe ajira serikalini wajiunge chama Tawala. Wafuatao niviongozi ambao ni wageni kwenye siasa na hawajawahi kutingishwa imani yao;
1. John Pambalu anaupiga mwingi Sana
2. CPA Catherine Ruge, ametisha Sana kwenye nafasi yake kuliko hata akina Mdee

Siku si nyingi kamata kamata itaanza maana safu ya CCM imekosa agenda na nguvu yakusimama jukwaani kuzungumza na walalahoi. Hadi leo si mbunge wa CCM Wala kiongozi mwingine ambaye ameonyesha kusimama na machinga na bodaboda, Wakina mama wanapitia mateso na vijana hawana ajira ila viongozi wote wa CCM wamekalia kusifia......watu Wana njaa mnataka kuwaaminisha wameshiba?
Kwamba Ccm hawana tena uwezo wa fikra. Wao taliyo baki ni kurubuni wapinzani na kuwa vyeo.
Bado wafia chama wana baki mitandaoni kulia lia tuu.. Vichwa viko upinzani.
Msigwa alisema, akili Ndogo kuongoza akili kubwa.
 
CCM ni jungu kuu.....

Awamu ya 6 ina AJENDA lukuki....

CCM hii haina haja ya kuokoteza huko usemako.....

Siempre JMT
Naomba ni kusidie awamu ya 6 pamoja na AJENDA lukuki zake laki ilipidi iombe watu kutoka Chadema kusaidie
1. JOSHUA NASSARI -MKUU WA WILAYA BUNDA
2.DR.VICENT MASHINJI MKUU WA WILAYA SERENGETI
3.LIJUALIKALI.. MKUU WA WILAYA
To mention but few
 
MaCCM wote akili zenu hazina akili . Unanikumbusha bi, dada Cocochanel , au ni wewe ,ndio kila awamu na ID yake.?!
Banaga akikusikia unamwita ”WAKUOKOTWA /WAKUOKOTEZWA” atatoka JEHANAMU aingie motoni , maana PEPONi atakusikia tu kama MaCCM wengine wote.
Huyu dada cocochanel sijui alipotelea wapi baada ya MAKONDA kupotea na yeye akapotea,wapo wengine kama.
 
Chadema wamekimbiza sana huko kitaa na usajili wa kidigitali. Viongozi wa jumuia za chama hiki wanafanya kazi kubwa sana na wameibua wananchi kuamka hasa wanawake kuitafuta haki.

Kwa namna ambavyo viongozi Hawa wamejizolea umaarifu lazima wataaza kukamatwa na kuteswa kisaikologia wapunguze Kasi au walipwe ajira serikalini wajiunge chama Tawala. Wafuatao niviongozi ambao ni wageni kwenye siasa na hawajawahi kutingishwa imani yao:

1. John Pambalu anaupiga mwingi sana
2. CPA Catherine Ruge, ametisha sana kwenye nafasi yake kuliko hata akina Mdee

Siku si nyingi kamata kamata itaanza maana safu ya CCM imekosa agenda na nguvu yakusimama jukwaani kuzungumza na walalahoi. Hadi leo si mbunge wa CCM Wala kiongozi mwingine ambaye ameonyesha kusimama na machinga na bodaboda, wakina mama wanapitia mateso na vijana hawana ajira ila viongozi wote wa CCM wamekalia kusifia, watu Wana njaa mnataka kuwaaminisha wameshiba?
Hakuna ushahidi wa matendo maovu dhidi ya hao uliowataja kama wanavyofanya CCM wenyewe
 
MaCCM wote akili zenu hazina akili . Unanikumbusha bi, dada Cocochanel , au ni wewe ,ndio kila awamu na ID yake.?!
Banaga akikusikia unamwita ”WAKUOKOTWA /WAKUOKOTEZWA” atatoka JEHANAMU aingie motoni , maana PEPONi atakusikia tu kama MaCCM wengine wote.
Argumentum ad hominem....

Sasa nani ana akili nyingi huko CDM?!!!

Kupingapinga kihisia ndio akili nyingi eee?!!!
2969622_images_9.jpeg
 
Nipe orodha ya Wakuu wa wilaya nikuonesha waliookotwa huko unakosema na mwingine wa Arusha juzi kaahidiwa kazi.
Ni mwendo wa kuokota tu sasa na usishangae siku ukisikia mzee Yusufu wa jahazi anakuwa waziri
 
Back
Top Bottom