Wafuatao wajiandae kuzongwa na dola ili wajiunge CCM

MaCCM wote akili zenu hazina akili . Unanikumbusha bi, dada Cocochanel , au ni wewe ,ndio kila awamu na ID yake.?!
Banaga akikusikia unamwita ”WAKUOKOTWA /WAKUOKOTEZWA” atatoka JEHANAMU aingie motoni , maana PEPONi atakusikia tu kama MaCCM wengine wote.
Bananga Mariooo
 
Subiri muda ufike.. mtasaga meno kama kawa humu.. 💀
 
CCM yenyewe sasa hivi ni vipande vipande, mtu uende huko kufanya nini?
 
Chadema wamekimbiza sana huko kitaa na usajili wa kidigitali. Viongozi wa jumuia za chama hiki wanafanya kazi kubwa sana na wameibua wananchi kuamka hasa wanawake kuitafuta haki.

Kwa namna ambavyo viongozi Hawa wamejizolea umaarifu lazima wataaza kukamatwa na kuteswa kisaikologia wapunguze Kasi au walipwe ajira serikalini wajiunge chama Tawala. Wafuatao niviongozi ambao ni wageni kwenye siasa na hawajawahi kutingishwa imani yao:

1. John Pambalu anaupiga mwingi sana
2. CPA Catherine Ruge, ametisha sana kwenye nafasi yake kuliko hata akina Mdee

Siku si nyingi kamata kamata itaanza maana safu ya CCM imekosa agenda na nguvu yakusimama jukwaani kuzungumza na walalahoi. Hadi leo si mbunge wa CCM Wala kiongozi mwingine ambaye ameonyesha kusimama na machinga na bodaboda, wakina mama wanapitia mateso na vijana hawana ajira ila viongozi wote wa CCM wamekalia kusifia, watu Wana njaa mnataka kuwaaminisha wameshiba?
Ila Catherine Ruge ni noma
 
Back
Top Bottom