Wafuasi wa UKAWA kwanini mnajificha Uvunguni?

Siku kama ya leo, naikumbuka tarehe 14/15 mwezi wa 10 mwaka 1999. Ni baada ya kupokea taarifa ya kifo cha Baba wa Taifa - Nyerere kilichotokea ughaibuni. Watanzania ilikuwa kila mmoja wetu tulipokutana njiani nyuso zetu ziligubikwa na huzuni na majonzi. Jana tarehe 29 na leo tarehe 30 baada ya Magufuli kutangazwa mshindi wa Urais, tizama nyuso za Watanzania utabaini hali ya huzuni iliyo ndani ya nafsi zao. Nilitegemea kuwe na shamrashamra za ushindi kama wakati mzee wa ari mpya, kasi mpya lakini badala yake hata waliohudhuria ukumbini leo makofi ya kushangilia ushindi yalikuwa yakiombwa na mc. TUTAFAKARI JAMANI. NI NEEMA YA MUNGU TU IWEZAYO KUTUVUSHA NA VINGINEVYO MACHOZI YETU YAFIKE MIGUUNI KWA MUNGU.

My president is ENL
 
Hatua gani unataka tufanye; umesema tusifanye vurugu, ok, je unajua kuwa katiba yetu hairuhusu kupinga mahakamani matokeo ya urais!? Sasa tufanyeje? Ila elewa mwanadamu mkimya ni hatari zaidi.
 
Hatua gani unataka tufanye; umesema tusifanye vurugu, ok, je unajua kuwa katiba yetu hairuhusu kupinga mahakamani matokeo ya urais!? Sasa tufanyeje? Ila elewa mwanadamu mkimya ni hatari zaidi.

ukimya kwa hili hautasaidia mkuu kumbuka mpaka uchaguzi ni 5 yrs mbele
 
Back
Top Bottom