Wafuasi wa Seif wanaohamia ACT-Wazalendo wanafanya uharibifu, wizi wa mali za CUF wanapaswa kukamatwa na vyombo vya dola na Zitto na Seif kukemea hilo

Synthesizer

Platinum Member
Feb 15, 2010
11,318
19,205
Nimeshuhudia vitendo vya ofisi za zilizokuwa CUF na fenicha zake kuhamishiwa kinyemela kwenda ACT-Wazalendo kwa kuwa Seif na kundi lake wamehamia ACT - Wazalendo.

Lazima tuseme wazi, hiki ni kitendo cha wizi ambacho kinapaswa kukemewa si tu na Zitto na Seif mwenyewe, bali na kila Mtanzania anaeheshimu amani. Hakuna tofauti na mke anaemkimbia mume kubemba vyombo vya ndani na kwenda navyo kwa mwanaume wake mpya - haikubaliki. Ikibidi, utaratibu wa kugawana mali unapaswa ufanywe.

Kama Seif na watu wake wameamua kuhamia ACT-Wazalendo, hawawezi kubeba mali zinazomilikiwa kihalai na CUF na kuzifanya kuwa mali za ACT-Wazalendo. Huo ni wizi. Nitamshangaa sana Zitto kama atakubaliana na hili, kwa sababu tunategemea Zitto na Seif kuwa viongozi wanaojua kusimamia sheria.

Kwa hiyo kwa moyo ule ule tuliolaani CCM kutaifisha mali za Watanzania pale tulipoingia mfumo wa vyama vingi, tutalaani Seif na watu wake kuiba mali za CUF na kukimbia nazo kwenda ACT-Wazalendo.
 
Unao ushahidi zilinunuliwa na CUF? Tulipoingia mfumo wa vyama vingi CCM ilikomba viwanja vya michezo mikoani vilivyoachwa na mkoloni na livyojengwa na wananchi.
 
Nimeshuhudia vitendo vya ofisi za zilizokuwa CUF na fenicha zake kuhamishiwa kinyemela kwenda ACT-Wazalendo kwa kuwa Seif na kundi lake wamehamia ACT - Wazalendo.

Lazima tuseme wazi, hiki ni kitendo cha wizi ambacho kinapaswa kukemewa si tu na Zitto na Seif mwenyewe, bali na kila Mtanzania anaeheshimu amani. Hakuna tofauti na mke anaemkimbia mume kubemba vyombo vya ndani na kwenda navyo kwa mwanaume wake mpya - haikubaliki. Ikibidi, utaratibu wa kugawana mali unapaswa ufanywe.

Kama Seif na watu wake wameamua kuhamia ACT-Wazalendo, hawawezi kubeba mali zinazomilikiwa kihalai na CUF na kuzifanya kuwa mali za ACT-Wazalendo. Huo ni wizi. Nitamshangaa sana Zitto kama atakubaliana na hili, kwa sababu tunategemea Zitto na Seif kuwa viongozi wanaojua kusimamia sheria.

Kwa hiyo kwa moyo ule ule tuliolaani CCM kutaifisha mali za Watanzania pale tulipoingia mfumo wa vyama vingi, tutalaani Seif na watu wake kuiba mali za CUF na kukimbia nazo kwenda ACT-Wazalendo.
Tulia sindano ipenye:cool::cool:
 
Acha hasira Mali ni za Wanachama CUF haipo tena, na kama Jengo / Pango i la mwanachama analipwa Kodi na CUF sasa na yeye kahamia ACT haitaki CUF mtamlazimisha jengo lisibadilishwe rangi
1552986071800.png
 
Attachments

  • 53207715_441864529889732_4386086393927120124_n.jpg
    53207715_441864529889732_4386086393927120124_n.jpg
    30.9 KB · Views: 27
  • Thanks
Reactions: BAK
Acha hasira Mali ni za Wanachama CUF haipo tena, na kama Jengo / Pango i la mwanachama analipwa Kodi na CUF sasa na yeye kahamia ACT haitaki CUF mtamlazimisha jengo lisibadilishwe rangi
Mkataba wa kupangisha unasomeka CUF au ACT wazalendo? Vipi mali zilizo ndani ya ofisi ni za CUF au ACT wazalendo? Mkataba Je umeisha wa kupangisha CUF hadi uweke mpangaji mwingine?
 
Nyie ni mali tu kukomboa watz wapambane na hali yao. Wala hamsikitiki kiongozi na wanacha wenu kuhama, nyie ruzuku na mali sasa wakati huu mmeingie choo cha wenzenu subirini dawa iwaingie tu.
Nimeshuhudia vitendo vya ofisi za zilizokuwa CUF na fenicha zake kuhamishiwa kinyemela kwenda ACT-Wazalendo kwa kuwa Seif na kundi lake wamehamia ACT - Wazalendo.

Lazima tuseme wazi, hiki ni kitendo cha wizi ambacho kinapaswa kukemewa si tu na Zitto na Seif mwenyewe, bali na kila Mtanzania anaeheshimu amani. Hakuna tofauti na mke anaemkimbia mume kubemba vyombo vya ndani na kwenda navyo kwa mwanaume wake mpya - haikubaliki. Ikibidi, utaratibu wa kugawana mali unapaswa ufanywe.

Kama Seif na watu wake wameamua kuhamia ACT-Wazalendo, hawawezi kubeba mali zinazomilikiwa kihalai na CUF na kuzifanya kuwa mali za ACT-Wazalendo. Huo ni wizi. Nitamshangaa sana Zitto kama atakubaliana na hili, kwa sababu tunategemea Zitto na Seif kuwa viongozi wanaojua kusimamia sheria.

Kwa hiyo kwa moyo ule ule tuliolaani CCM kutaifisha mali za Watanzania pale tulipoingia mfumo wa vyama vingi, tutalaani Seif na watu wake kuiba mali za CUF na kukimbia nazo kwenda ACT-Wazalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba wa kupangisha unasomeka CUF au ACT wazalendo? Vipi mali zilizo ndani ya ofisi ni za CUF au ACT wazalendo? Mkataba Je umeisha wa kupangisha CUF hadi uweke mpangaji mwingine?
Sasa ndio uelewe hawa wahuni hatuwezi kuwaachia nchi.
 
kwa mujibu wa Maalim , Mali na ofisi za cuf na hasa za Zanzibar zilikuwa za kujitolea tu kutoka kwa wanachama , sasa leo wakibadilika tufanyeje ?
 
Nimeshuhudia vitendo vya ofisi za zilizokuwa CUF na fenicha zake kuhamishiwa kinyemela kwenda ACT-Wazalendo kwa kuwa Seif na kundi lake wamehamia ACT - Wazalendo.

Lazima tuseme wazi, hiki ni kitendo cha wizi ambacho kinapaswa kukemewa si tu na Zitto na Seif mwenyewe, bali na kila Mtanzania anaeheshimu amani. Hakuna tofauti na mke anaemkimbia mume kubemba vyombo vya ndani na kwenda navyo kwa mwanaume wake mpya - haikubaliki. Ikibidi, utaratibu wa kugawana mali unapaswa ufanywe.

Kama Seif na watu wake wameamua kuhamia ACT-Wazalendo, hawawezi kubeba mali zinazomilikiwa kihalai na CUF na kuzifanya kuwa mali za ACT-Wazalendo. Huo ni wizi. Nitamshangaa sana Zitto kama atakubaliana na hili, kwa sababu tunategemea Zitto na Seif kuwa viongozi wanaojua kusimamia sheria.

Kwa hiyo kwa moyo ule ule tuliolaani CCM kutaifisha mali za Watanzania pale tulipoingia mfumo wa vyama vingi, tutalaani Seif na watu wake kuiba mali za CUF na kukimbia nazo kwenda ACT-Wazalendo.
Totautisha CUF na KAFU_Lipumba,hizo mali za CUF,KAFU Lipumba inabidi itafute ofisi zake waanze upya,Mwambieni MITUNGI na ANKALI wamnunulie fenicha na wamtafutie ofisi hizo ni mali za CUF,au kama Vipi waambieni SISIEMU warudishe mali za TANU walizoziiba.
 
Mkataba wa kupangisha unasomeka CUF au ACT wazalendo? Vipi mali zilizo ndani ya ofisi ni za CUF au ACT wazalendo? Mkataba Je umeisha wa kupangisha CUF hadi uweke mpangaji mwingine?
mali walizojitolea wananchi si za cuf , ikumbukwe kwamba cuf haijawahi kupangishwa nyumba yoyote zanzibar na yeyote , ilikuwa hisani ya wadau tu
 
Nimeshuhudia vitendo vya ofisi za zilizokuwa CUF na fenicha zake kuhamishiwa kinyemela kwenda ACT-Wazalendo kwa kuwa Seif na kundi lake wamehamia ACT - Wazalendo.

Lazima tuseme wazi, hiki ni kitendo cha wizi ambacho kinapaswa kukemewa si tu na Zitto na Seif mwenyewe, bali na kila Mtanzania anaeheshimu amani. Hakuna tofauti na mke anaemkimbia mume kubemba vyombo vya ndani na kwenda navyo kwa mwanaume wake mpya - haikubaliki. Ikibidi, utaratibu wa kugawana mali unapaswa ufanywe.

Kama Seif na watu wake wameamua kuhamia ACT-Wazalendo, hawawezi kubeba mali zinazomilikiwa kihalai na CUF na kuzifanya kuwa mali za ACT-Wazalendo. Huo ni wizi. Nitamshangaa sana Zitto kama atakubaliana na hili, kwa sababu tunategemea Zitto na Seif kuwa viongozi wanaojua kusimamia sheria.

Kwa hiyo kwa moyo ule ule tuliolaani CCM kutaifisha mali za Watanzania pale tulipoingia mfumo wa vyama vingi, tutalaani Seif na watu wake kuiba mali za CUF na kukimbia nazo kwenda ACT-Wazalendo.
JF haina msaada, Piga 102 or 103 uwaeleze hao. Hakuna gharama kupiga simu kwenda namba hizo!

Sijui kwa mila za kwenu , Lakini kwa mila za kizanzibari Mwanamke mara nyingi hunua fanicha na vyombo vya ndani kwa pesa zake za za mahari, na hivyo mume haruhusiwi kuvigusa. Vile vile mke ana haki ya kudai katika mali alizozichuma mume wakati wakiwa Pamoja.
 
Back
Top Bottom