Wafuasi wa Mursi hawataki kusalim amri

There are christians.(christ worshippers) but there are no muhammadan (as these people do not worship Muhammad).
You may call them Muslims( people who surrender to the will of God as Jesus did)

Allah?

Surat Al-'Ikhlas - The Noble Qur'an - ?????? ??????

That is sweet explanations but only for those who have understanding! (who are Clever).
And unfortunately that mr many names is not one of them!!
 
Basi kuna mijinga hapa kwetu itaongea kwa uchunguuu kama inahusika. Wale wanaohasimiana kule majority ni watu wa dini moja. Tofauti yao ni kwamba baadhi yao hawaamini kuwa ni sahihi mwanaume kuilala maiti ya mkewe.

WATANZANIA HAYATUHUSU

Muheshimiwa! Unae toka pabaya!!
Sisi waislamu woote ni ndugu!

Kwa hiyo tukiongelea masuala ya matatizo ya ndugu zetu, tunaomba mtupe faragha kidogo!
Na hizo hoja zako za kashfa! Jaribu kuwa na nidhamu kama watanzania tulivyo!
Hayo mambo ya lugha chafu waachie wahuni!
Na hili sii jukwaa la wahuni!

Mbona mnapoongelea taifa teule na pirika za huku si tunapita tu!
Au yanayotokea vatican ya ubora na uchafu! mbona humu yamo!?

Ikiwahusu waislamu tu!

Watu eeee! Oooooo! Duhh!

Hata aibu hamuoni!?

Vibaya hivyo!
Mtatuharibia swaumu zetu!
 
Si hao Answari wenzako wanaleta shida? Wamisiri walipigania demokrasia na maendeleo na sio SHARIA

Muheshimiwa Didia answari maana yake ni kunusuru sunnah ya mtume wetu mtukufu (s.a.w)
Na sio kuleta shida kama unavyosema wewe!

Hao waleta shida cheo hicho cha uanswari usiwape! Hicho ni cheo kikubwa saana mbele ya Muumba!

Kwa hisani yako!

Au swaumu kali!?
 
Last edited by a moderator:
umekusudia nchi iongozwe bila sharia ??? yaani demokrasia ya majeshi ??
Gavana mi nadhani huyu Didia ni ndugu yetu ktk imani kwa hio lzm twende pamoja tartiiiiibu!

....ruhamaau bainahum, taahum rukkaan sujjadan.....!

Swaumu njema kaka!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Achahasira kahtaan Nonda musipoteze muda wenu kumjibu huyu mtoto mdogo SCHMIDT. Hawa ndio wale waliokwishapigwa mihuri.

Naona huyo SCHMIDT kapigw teke sehemu mbaya na mods!
Wamemfutia post zake ghafla!

Sasa sijui atatokeza na jina gani!
Tusubiri tuone!
 
Last edited by a moderator:
Naona huyo SCHMIDT kapigw teke sehemu mbaya na mods!
Wamemfutia post zake ghafla!

Sasa sijui atatokeza na jina gani!
Tusubiri tuone!

Muhammadan you don't get it.

Bila ya kumsema SCHMIDT huwezi kula daku weye?

Hivi kweli weye umefunga?

ALLAH IS NOT GOD​
 
Muhammadan you don't get it.

Bila ya kumsema SCHMIDT huwezi kula daku weye?

Hivi kweli weye umefunga?

ALLAH IS NOT GOD​

We SCHMIDT ni mtu mwenye elimu ya kata!
Ueleo wako wa mambo ni mdogo saana!
Unachafua uzi za watu day in day out!
Badala ya kuelimisha watu una mwaga povu lililo chacha! Halafu unarudia maneno kama mtoto wa kike alienyimwa pipi!

We huoni kuwa hata hao wagalatia wenzako wamekuchoka!
Unabadilisha id's kama criminal!
Why dont you change your tactics!

Same song everyday! And if you are not careful, they will kick that SCHMIDT of yours in the stomach and tommorow you will come back as mwajuma!

You need to grow up and be a real fighter.
Not a coward with id's 101!

You are desperately to prove something by spoiling other people's threads!

You disappointed your KKKKT! @ SCHMIDT .COM
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom