love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,529
- 2,896
Mwenye akili ameelewa.'Mmehamia' unamaanishja wakina nani?
Mwenye akili ameelewa.'Mmehamia' unamaanishja wakina nani?
Mimi sina , nielewesheMwenye akili ameelewa.
Huwezi kuelewa kama huna akili na unajua huna akili.Mimi sina , nieleweshe
Ni dhihaka we kenge,Huwezi kuelewa kama huna akili na unajua huna akili.
Ukisema imekuwa.Ni dhihaka we kenge,
Aibu kwenu wanachadema!
Kwa pigo la jana kwenu nyinyi sukuma gang lazima mlijiharishia
Jpm alikuwa anagimbana na yeyote anayemkuta barabarani ili mradi amejisikia kugombana bila hata sababu ya msingi. Mfano kuchoma vifaranga vya kenyaHapo kwenye kuhonga wapinzani, hapo mwenye tatizo ni aliehongwa ama aliehonga?
Matatizo ya wapinzani wetu kua wenye njaa na wasio na msimamo ni kosa la Magufuli?
Kugombana na majirani ni kitu cha kawaida pale unapoona maslahi ya nchi yanaingiliwa. Kazi ya rais ni kulinda maslahi ya nchi, rais akiona majirani wanaingilia maslahi yetu lazima akomae, hata Putin ndio maana ameivamia Ukraine kulinda maslahi ya nchi yake, Kikwete aligombana na Kagame kulinda masilahi ya nchi yetu.
Hoja kwamba Magufuli aligombana na majirani haina msingi wowote, hata Nyerere aligombana na Iddy Amin kulinda maslahi ya Tanzania. Ama ulitaka Magufuli awachekee wakenya wanavyoiba nchini kwetu?
Sekta binafsi ipi iliyokufa? Sekta binafsi ingekua imekufa banks zisingekua zinaogelea kwenye faida, ama husomi hata machapisho ya mapato ya mabenki nchini? Banks zisingekua zinafungua matawi kila kona. Hakuna sekta binafsi iliyokufa, huo ni uongo na uzushi.
Mapato ya Kodi yasingefik 2T kama sekta binafsi ingekua imekufa. Hoja ya sekta binafsi kufa haina mashiko.
Vyombo gani vya habari vilifungiwa? Hivi bijigazeti uchwara vinavyopika habari kina Tanzania Daima, Machweo sijui mawio? Hebu kua serious basi. Hakuna taifa linaweza kua na vyombo vya habari ambavyo kazi yake ni kutunga stori na kuzusha uongo na uzandiki kwenye jamii, hakuna Duniani.
Sukuma gang ni kundi la hatari na hovyo kabisa kwenye mustakabali wa umoja na mshikamanoSukuma gang na MATAGA kama hawaamini ve kinacho enda kutokea! Kwao siasa za chuki, dhuluma, uonevu, ndiyo mtaji wao.
Wanatamani huyu mama aendeleze pale mtangulizi wake alipoishia! Ili na 2025 washinde uchaguzi wa wabunge na urais, kirahisi tu na kwa msaada wa polisi kama ilivyo fanyika 2020! Jambo ambalo halitawezekana tena.
Ni vizuri MATAGA wabunge na madiwani wakaanza kuandaa mazingira ya kujiajiri. Maana wengi wao hawataonekana tena kwenye siasa za ushindani baada ya 2025.
Msimamo wa chadema ni kutoitambua serikali na matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 leo hii aibu yenu kabla jua halijazama mmekana kauli zenu na kuamua kula matapishi yenu!Aibu hii ni kwa MATAGA kama nyinyi. Kitendo cha Mbowe kuitwa Ikulu kuonana na Rais mara tu baada ya kufutiwa mashtaka, ni ushindi kwa Chadema.
Lakini pia kitendo cha Rais kwenda Ubelgiji na kukutana na 'mdogo' wake Tundu Lissu, na kuzungumza mambo mbalimbali ya msingi kati yao! Pia ulikuwa ni ushindi mwingine huu kwa Chadema na viongozi wake.
Hakika MATAGA mmebakia kuwa watoto yatima baada ya kuthibitisha pasipo na shaka ya kwamba mama hayuko upande wenu! Hivyo naamini miaka michache ijayo, hii chuki iliyo asisiwa na yule malaika wenu, itafutika kabisa! Na hivyo Watanzania tutarudi kwenye maisha yetu ya kuishi kama wamoja.
Mnakiri uchaguzi mkuu 2020 ulioiweka serikali ya awamu ya 5/6 ulikuwa huru na haki na tume ilikuwa huru tuanzie hapo kwanza hebu funguua hicho kibwebwe kwanza umenengua sana!Kudadadeeeki sukuma gang jana mlilala bila viatu.
Mliamini kiboko ya Jiwe mh Mbowe angefungwa na sasa yupo huru.
Aibu kwaccm.. naona mama yenu ameomba poo 🙌 Kwanza alimtafuta Tundu Lissu, sasa naona kamtafuta Mbowe wayamalizeAibu kwenu wanachadema!
Sukuma gang hamuamini kinachoendeleaSamia alikuja vizuri, Mbowe akawatuma akina mdude nyagali wamtukane eti wembe walioutumia kumnyoa magufuli watamnyolea SSH, moto waliopelekewa hawatausahau
Msimamo wa chadema ni kutoitambua serikali na matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 leo hii aibu yenu kabla jua halijazama mmekana kauli zenu na kuamua kula matapishi yenu!
Hili alisemwi na wanna chademaMbowe aliishiwa Hela za kulipa mawakili, akaitisha mchango mitandaoni akapata chini ya milioni tano, alijiaminisha Chadema Ina watu watamchangia, hawakuchanga, alivyoona wanachadema wamemtelekeza, akaamua kuomba radhi kwa SSH.
Akaona hana haja ya kujiumiza kukaa gerezani kwa ajili ya Wana Chadema wenye roho ya ubinafsi
Bado wanaota kuwa wapi enxi za sukuma GangWafuasi wa Chuki Utesaji Ubàguzi Uchoyo Ugamboshi sasa wakale matobolwa na ngubalu HÀWANA NAFASI TENA