Wafuasi wa Lowassa Arusha tutafanya mkutano jumamosi hii

king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
79
wanaharakati wa lowassa wa Arusha jumamosi hii tutafanya kikao cha kwanza cha maandalizi ya maandamano ya nchi nzima ....sehemu ya kukutana tutawatumia kwenye namba zenu na mail zenu. pindi tutapowatumia basi mtazitawanya kwa watu wote kama tulivyopanga
 
si mmeona eeenh! wale wengine wa ccj akina nape wameanzia mbeya, wa Lowassa nao sasa wanalianzisha magamba sasa mtachapana viboko very soon!
 
Binafsi nafurahia magamba kuwa katika hali hii na ninaunga mkono hayo maandamano, ni mojawapo ya faida chanya kwa wanamageuzi
 
wanaharakati wa lowassa wa Arusha jumamosi hii tutafanya kikao cha kwanza cha maandalizi ya maandamano ya nchi nzima ....sehemu ya kukutana tutawatumia kwenye namba zenu na mail zenu. pindi tutapowatumia basi mtazitawanya kwa watu wote kama tulivyopanga

Wafuasi wa Lowasa kwani Lowasa ni Mchungaji wa Dhehebu gani? Mnataka kuandamana kudai nini?
 
Lowassa anagawa mapesa Arusha eti watu walie na waandamane atakapo vua gamba lake.
 
mimi sio mfuasi ila namkubali saana lowassa kwa utendaji wake wa kazi niko tayari kuandamana free of charge, na niko tayari kumtetea kwa nguvu zoote. I believe he is innocent ila kafanywa mbuzi wa kafara. Mkuu hebu niPM tubonge fresh.
LOWASSA TUNAKUHHITAJI, LOWASSA TUNAKEPENDA TUKO TAYARI UWE KIONGOZI WETU VIVA LOWASSA VIVA ARUSHA
 
Back
Top Bottom