Nataka kusikia wafuasi wa lipumba wamechezea vitasa vya maana!!!!
Nasikia wao ndio wametembeza mkono vibaya...Nataka kusikia wafuasi wa lipumba wamechezea vitasa vya maana!!!!
Itakusaidia niniNataka kusikia wafuasi wa lipumba wamechezea vitasa vya maana!!!!
Nasikia wao ndio wametembeza mkono vibaya...
HeheheheHii sitaki kusikia
Nime betiItakusaidia nini
Okey, Hao wanaoitwa wafuasi wa Lipumba ni CCM, wanaitikia wito wa viongozi wa CCM kuwa wanahakikisha upinzani unayumba. hao ni UVCCM wanatabia ya kuitana kwa wingi mahakamani.Ndio maana polisi wanazuia watu wasije mahakamani kusikiliza kesi zinazowahusu wanansiasa.Hao wanaoitwa wafuasi wa Sefu ni wafuasi wa chadema,wanaitikia amri ya mwenyekiti wao aliesema watamsaidia sefu kwa hali yoyote,sefu hana watu wa kufanya fujo huku bara,hao ni bavicha ndio wenye tabia ya kuitana kwa wingi mahakamani.
mtajiju. cuf imekufa
maalim seif asikubali kula matapishi.Lipumba ni mla matapushi..na hakubaliki.Nia yake tumeshaijua.Wafuasi wa CUF wanaomuunga mkono Prof. Lipumba na wa Maalim Seif wamepigana nje ya Mahakama Kuu wakati kesi ya Lipumba ikisikilizwa.
View attachment 438841
maalim seif asikubali kula matapishi.Lipumba ni mla matapushi..na hakubaliki.Nia yake tumeshaijua.