Wafuasi wa Lipumba na Maalim Seif wazichapa Mahakamani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Wafuasi wa CUF wanaomuunga mkono Prof. Lipumba na wa Maalim Seif wamepigana nje ya Mahakama Kuu wakati kesi ya Lipumba ikisikilizwa.

des.png
 
Ndio maana polisi wanazuia watu wasije mahakamani kusikiliza kesi zinazowahusu wanansiasa.Hao wanaoitwa wafuasi wa Sefu ni wafuasi wa chadema,wanaitikia amri ya mwenyekiti wao aliesema watamsaidia sefu kwa hali yoyote,sefu hana watu wa kufanya fujo huku bara,hao ni bavicha ndio wenye tabia ya kuitana kwa wingi mahakamani.
 
Ndio maana polisi wanazuia watu wasije mahakamani kusikiliza kesi zinazowahusu wanansiasa.Hao wanaoitwa wafuasi wa Sefu ni wafuasi wa chadema,wanaitikia amri ya mwenyekiti wao aliesema watamsaidia sefu kwa hali yoyote,sefu hana watu wa kufanya fujo huku bara,hao ni bavicha ndio wenye tabia ya kuitana kwa wingi mahakamani.
Okey, Hao wanaoitwa wafuasi wa Lipumba ni CCM, wanaitikia wito wa viongozi wa CCM kuwa wanahakikisha upinzani unayumba. hao ni UVCCM wanatabia ya kuitana kwa wingi mahakamani.
 
maalim seif asikubali kula matapishi.Lipumba ni mla matapushi..na hakubaliki.Nia yake tumeshaijua.

Watawala wanahangaika na Maalim Seif. Huu mgogoro ni wa Lipumba v/s CUF (wadhamini) leo kila kukicha wao na Lipumba na Maalim Seif.

Wanatamani iwe hivyo haikuwa, walitamani iwe mgogoro wa CUF Zanzibar na Bara haikuwa. Kila siku mara CUF Maalim Seif, Mara Maalim Seif na Lipumba, mara CUF Bara nini? semeni kilichopo.


Lengo ni Maalim Seif. endeleeni kumzuiya asifanye kazi zake za chama halafu singizieni eti mgogoro. Dunia imewatambua kwa haya mnayomfanyia Maalim Seif kupitia mgogoro wa kutengenezwa.

Aibu hii, Eti Lipumba atengua uamuzi wa kujiuzulu, hafla anavamia mikutano na ofisi, hata hakujacha anazunguka maeneo yenye mamluki wake na baadhi ya vyombo vya habari vinaripoti ni MGOGORO WA LIPUMBA na MAALIM SEIF.

Wakati wanajuwa maamuzi hufanywa na chama kupitia vikao halali wao kutwa na Mgogoro wa Lipumba na Maalim.

Hawa watu hawana mgogoro wowote kuna mgogoro wa Lipumba na CUF kama chama kupitia kwa wadhamini.

Hili gemu litafika mwisho.
Acha tuone mahkama nayo kama itacheza mchezo wa Maharage ya Juma Poli.
 
Back
Top Bottom