Wafuasi wa Jubilee na NASA waandamana na kuzua fujo

1academ

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
1,973
2,497
Ni kilio kichungu kwa wana jubilee huku wakiandamana kote jijini wakiwa na mabango wakitaka kura zihesabiwe tena.

======================================================
National Super Alliance (NASA) supporters have joined fighting off Jubilee youth outside the Supreme Court.

Reports indicate that businesses along City Hall have been closed following the chaos.

Jubilee supporters held demonstrations on Monday morning following a petition filed against Deputy Chief Justice Philomena Mwilu and Judge Isaac Lenaola.
fujo 1.jpg
fujo 2.jpg


FB_IMG_1505832734392.jpg
FB_IMG_1505832740855.jpg
 
Wamachinga yaani hawkers walilipwa jero jero ili waliamshe dude, Leo wameadimika kitaa sana
FB_IMG_1505833530660.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ni baada ya jamaa flani kuenda mahakamani akidai majaji wawili walkua wanawasiliana na NASA kesi ya uchaguzi ikiendelea.....amewasilisha call logs na texts kutoka kwa safaricom kama ushahidi.pia inasemekana amewasilisha cctv videos.........io ndo imechangia wafuasi wa jubilee kuandamana wakidai mahakama io inatumika kuipendua serikali
 
Lazima tutetee Uhuru wa mahakama. Bila mahakama hakuna tofauti ya Kenya na Afghanistan
Tofauti kubwa sana ipo kati ya uhuru wa mahakama na yale yanajulikana kama "judicial activism" .Soma kwa undani uelewe kwanza kabla ya kuunga mkono kitu kibaya.
 
Back
Top Bottom