Wafuasi wa CHADEMA wengi hawajajiandikisha wapeni tu fomu hawana madhara

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
1,899
2,000
Kwanini alipotajwa manka Umeshikwa na hasira namna hii? Vipi kama wamejulishana huko pm kwamba yeye ni manka?

Kwanini wachaga mnawaza sana ukabila?
We nae mpumbavu tu, na we tayari umesha assume mi mchaga?
Nani mkabila sasa kati ya mimi na wewe?
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
7,292
2,000
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?

Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.

Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Usisahau kuna kampeni kabla ya uchaguzi, wale waliojiandikisha tu, ukiwaabia kanunua ndege, badala ya msosi, watabadili uamuzi
 
olinkobole j

Member
Aug 24, 2019
96
125
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?

Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.

Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Wajiamin watoe fomu
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,367
2,000
Kwa akili yako unqzani hao vijana wapiga yowe wanapiga kura? Tuliokaa kimya ndo wapigaji wazuri.
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?

Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.

Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
 
Pweza Boy

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
621
1,000
Hivi watu wanavojiandikisha wanakuja na mavazi ya chama au kadi za chama mpaka mseme hawajajiandikisha??
 
WAKO WAPI WATU WAKO

JF-Expert Member
Sep 26, 2017
1,522
2,000
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?

Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.

Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Punguza au acha Gongo...uwezo wako wa kufikiri au kuwaza masuala unatia Shaka...rudia kusoma ulichoandika na ufikiri tena...tena fikiri sawa sawa...utagundua unatatizo ktk kufikiri...then itakusaidia sana.
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
2,803
2,000
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?

Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.

Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
MZEE BABA KAMA KWELI HAWAJIANDIKISHA NA MNAKUBALIKA MMENUNUA NDEGE NA KUPUNGUZA WANUFAIKA WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU MBONA MNATOA FOMU ZENYE GHIRIBA KWA CHAMA MNACHOKIITA SACCOS
UKIWA ccm unakuwa mpumbavu kama mwenyekiti wa SADK
 
Nyabutoro

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
907
1,000
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?

Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.

Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Imeagizwa bro, hawawezi pita hao, tusububili mapenzi ya Mungu tu
 
DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
22,893
2,000
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?

Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.

Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Wewe mwenyewe una kiherehere kama barmaid.
 
Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,575
2,000
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?

Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.

Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaa chama chako cha CCM wanaogopa mpaka maiti ilimladi iwe na nembo ya CHADEMA.
 
Mbeshi Ngonda

Member
Oct 31, 2019
5
20
sina uhakika na hilo kabisa,,Sehemu nyingi nilizotembelea ukweli upinzani haukubaliki tofauti na ilivokuwa 2014
Kuna bomu baya la chuki na visasi linapikwa na kuchochewa na wenye dhamana,walioapa kuilinda na kuitetea Katiba.Kwa sababu ndogo sana sifa na kiburi cha hovyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom