Wafuasi wa CHADEMA washangaa ndege za SA Airways kutoa heshima ya kijeshi kwa Rais mteule mh Ramaphosa

Happy NYUMBU sijui Safari hi wanakuja na style ipi maana ya kuzugusha vimikono inaonekana Ni .....Fulani,Mimi nasubiri kuona wanakuja dizaini gani Safari hii
 
Kwahiyo katika tukio like kitu cha muhimu ulichoona ni ndege za abiria kutoa heshima za kijeshi!
 
Nipo hapa na makamanda wa chadema ambao wananieleza kwamba walikuwa hawajui umuhimu wa taifa kuwa na shirika lake la ndege kama ilivyo ATCL

Wamedai kuwa leo baada ya kushuhudia midege mikubwa ya abiria inayomilikiwa na South African Airways ikitoa heshima za kijeshi mbele ya Rais Ramaphosa ndio wameelewa na kamwe hawatamlaumu tena Rais Magufuli kwa uamuzi wa kulinunulia taifa la Tanzania ndege.

Wamekubali kuwa maendeleo hayana vyama!
Na wewe uache uduanzi. Uwe unajadili mambo yenye tija!
 
Adi huruma sijui ni kwanini ukishakuwa CCM tuu unakuwa kilaza wa kutupwa, yaani mzigo kwenye jamii!
 
Happy NYUMBU sijui Safari hi wanakuja na style ipi maana ya kuzugusha vimikono inaonekana Ni .....Fulani,Mimi nasubiri kuona wanakuja dizaini gani Safari hii
Umeelezwa ulikuja na pushapu safari hii utaruka kichurachura hujaipata hiyoo? Engineer?
 
Adi huruma sijui ni kwanini ukishakuwa CCM tuu unakuwa kilaza wa kutupwa, yaani mzigo kwenye jamii!
Ishu iko hivi
tapatalk_1558852188968.jpeg
Screenshot_2019-06-11-16-16-59.jpeg
 
Safari hii sijui hivi vijamaa vitakuja na staili gani baada ya ile ya kuzungusha mikono kubuma.
Kwa kweli vijana wenzangu mlio katika vyama vya kisiasa in this country sijajua mnawaza nini vichwani mwenu jamani mbona tunashida nyingi kama taifa hamtaki kuyajadili badala yake uwa mnachangamkia sana viumbeya? Why tusijadili upatikanaji wa katiba hapa kwetu ili tuachane na katiba hii ya mabeberu?
 
Nipo hapa na makamanda wa chadema ambao wananieleza kwamba walikuwa hawajui umuhimu wa taifa kuwa na shirika lake la ndege kama ilivyo ATCL

Wamedai kuwa leo baada ya kushuhudia midege mikubwa ya abiria inayomilikiwa na South African Airways ikitoa heshima za kijeshi mbele ya Rais Ramaphosa ndio wameelewa na kamwe hawatamlaumu tena Rais Magufuli kwa uamuzi wa kulinunulia taifa la Tanzania ndege.

Wamekubali kuwa maendeleo hayana vyama!
Kama kweli maendeleo hayana chama mbona twaombwa kujiunga ccm?
 
Back
Top Bottom