Wafuasi wa CHADEMA Waingia na Keki Mahakamani

siyo matatizo ya kiufundi semneni mmeelemewa mawakili wa kinambowe point zimewaishia wamebaki kujambajamba tu mahakamani kila wanachokiongea pumba kila pingamizi chali halafu wanajiita wasomi
Leo_Muda_wa_chakula_hapa_mahakamani_tutakula_Keki_hii....%C2%A0lis%C3%A4%C3%A4.jpg
 
View attachment 2050794

Leo ikiwa ni mwendelezo wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu kwenye Mahakama Kuu divisheni ya Uhujumu Uchumi , Wafuasi wa chama chake wamefika kwa wingi kama ilivyo Kawaida yao , lakini safari hii wameingia na Keki .

Taarifa zinaonyesha kwamba ratiba ya ulaji wa keki hiyo imetolewa mapema kabla ya kuanza kwa kesi hiyo , ambapo mara baada ya kesi kuelekea Mapumziko kila Mwanachadema atakayehudhuria kesi hii leo atalishwa kipande cha keki ikiwa ni ishara ya Mshikamano .
Upendo na Mshikamano.
Mbowe Sio Gaidi
 
siyo matatizo ya kiufundi semneni mmeelemewa mawakili wa kinambowe point zimewaishia wamebaki kujambajamba tu mahakamani kila wanachokiongea pumba kila pingamizi chali halafu wanajiita wasomi
.
Umesahau hiyo ni full michongo, upande wa mashata, sio kesi, sio mawakili, sio mashahidi, sip msikiliza shauri na hata maamuzi vyote full michongo, Sasa kwanini Kila pingamizi lisitupwe kimichongo.?
 
View attachment 2050794

Leo ikiwa ni mwendelezo wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu kwenye Mahakama Kuu divisheni ya Uhujumu Uchumi , Wafuasi wa chama chake wamefika kwa wingi kama ilivyo Kawaida yao , lakini safari hii wameingia na Keki .

Taarifa zinaonyesha kwamba ratiba ya ulaji wa keki hiyo imetolewa mapema kabla ya kuanza kwa kesi hiyo , ambapo mara baada ya kesi kuelekea Mapumziko kila Mwanachadema atakayehudhuria kesi hii leo atalishwa kipande cha keki ikiwa ni ishara ya Mshikamano .
Kesi ya Mbowe lakini keki imeandikwa Lissu 4 Life. Akili kichwani kwa nini Lissu anataka Mbowe aendelee kubaki gerezani.
 
View attachment 2050794

Leo ikiwa ni mwendelezo wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu kwenye Mahakama Kuu divisheni ya Uhujumu Uchumi , Wafuasi wa chama chake wamefika kwa wingi kama ilivyo Kawaida yao , lakini safari hii wameingia na Keki .

Taarifa zinaonyesha kwamba ratiba ya ulaji wa keki hiyo imetolewa mapema kabla ya kuanza kwa kesi hiyo , ambapo mara baada ya kesi kuelekea Mapumziko kila Mwanachadema atakayehudhuria kesi hii leo atalishwa kipande cha keki ikiwa ni ishara ya Mshikamano .
Contempt of the court invites summary judgement. Ningekuwa judge kwenye hiyo mahakama ningetoa hukumu ambayo ni kwake ni RETRIBUTIVE na kwa wengine iwe na DETERRENCE nature na tukio la kijinga hivi la kuinajisi mahakama lisingerudiwa sehemu yoyote katika jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Back
Top Bottom