Wafuasi wa CHADEMA tuwe macho, sisi ni sungusungu

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Ndiyo sisi ni sungu sungu, tukiamua jambo letu hatushindwagi kamwe. Tujiandae kupiga kura.

Tujitokezeni kwa wingi wetu tarehe 28.10.2020 tukapige kura tuwachague viongozi wetu bila ya kufanya uvunjifu wa amani kama wafanyavyo wa mtaa wa pili.

Tukimaliza kuchagua wagombea wetu kwa mtindo wa pembe tatu yaani 1:Rais..,. Mh Lissu

2. Mbunge

3. Diwani

Tuhakikishe tunazilinda kura zetu.

Tanzania bila ccm inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu lazima mfurahi tu!

Nec itawafurahisha sana!

Mtaenda na id zenu za kupigia kura mtaambiwa jina lako halipo kwenye orodha. Tayari unarudi umeinamisha kichwa chini.

Nyie si mlijifanya wajanja kudharau zoezi la uboreshaji wa daftari la mpiga kura?

Haya sasa malipo ya dharau zenu utawadia na mtafurahi sana!
 
2:Mbunge

3:Diwani

Tuhakikishe tunazilinda kura zetu.

Tanzania bila ccm inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Takataka
 
Ni Jambo gani ambalo mliamua hamkushindwa? Taja, Labda hamkushindwa màandamano ya mitandaoni.
 
Ndiyo sisi ni sungu sungu, tukiamua jambo letu hatushindwagi kamwe. Tujiandae kupiga kura.

Tujitokezeni kwa wingi wetu tarehe 28.10.2020 tukapige kura tuwachague viongozi wetu bila ya kufanya uvunjifu wa amani kama wafanyavyo wa mtaa wa pili.

Tukimaliza kuchagua wagombea wetu kwa mtindo wa pembe tatu yaani 1:Rais..,. Mh Lissu

2:Mbunge

3:Diwani

Tuhakikishe tunazilinda kura zetu.

Tanzania bila ccm inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyie ni sisimizi pia
 
Duh kutoka ukamanda hadi kuwa sungusungu...mnatia huruma
Ndiyo sisi ni sungu sungu, tukiamua jambo letu hatushindwagi kamwe. Tujiandae kupiga kura.

Tujitokezeni kwa wingi wetu tarehe 28.10.2020 tukapige kura tuwachague viongozi wetu bila ya kufanya uvunjifu wa amani kama wafanyavyo wa mtaa wa pili.

Tukimaliza kuchagua wagombea wetu kwa mtindo wa pembe tatu yaani 1:Rais..,. Mh Lissu

2:Mbunge

3:Diwani

Tuhakikishe tunazilinda kura zetu.

Tanzania bila ccm inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu lazima mfurahi tu!

Nec itawafurahisha sana!

Mtaenda na id zenu za kupigia kura mtaambiwa jina lako halipo kwenye orodha. Tayari unarudi umeinamisha kichwa chini.

Nyie si mlijifanya wajanja kudharau zoezi la uboreshaji wa daftari la mpiga kura?

Haya sasa malipo ya dharau zenu utawadia na mtafurahi sana!
Cdm ikisha ingia madarakani mjiandae kurudi kwenu Burundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu lazima mfurahi tu!

Nec itawafurahisha sana!

Mtaenda na id zenu za kupigia kura mtaambiwa jina lako halipo kwenye orodha. Tayari unarudi umeinamisha kichwa chini.

Nyie si mlijifanya wajanja kudharau zoezi la uboreshaji wa daftari la mpiga kura?

Haya sasa malipo ya dharau zenu utawadia na mtafurahi sana!
Watu kama nyie ndio mnaosababishwa mauaji na kufa kwa demokrasia Afrika kwasababu mnashabikia ushenzi.
 
Back
Top Bottom