Wafuasi wa chadema Maswa waachiwa huru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafuasi wa chadema Maswa waachiwa huru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NDOFU, Jun 4, 2011.

 1. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni wale walioshitakiwa kwa kumuua yule dereva kipindi cha kampeni za uchaguzi.Mahakama imewaachia huru baada ya mkurugenzi wa mashitaka kuona hakuna haja ya kuendelea na Kesi.SOURCE: ITV HABARI.
   
 2. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Duh! Ila kama kweli waliua roho ziwashtaki na watubu, siungi mkono raia kuchukua sheria mkononi...ingekuwa vema wangewastone to death wezi wazitowazito
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  huo ndio mfano mzuri wa kesi za kubambikiziwa.
   
Loading...