Wafuasi wa CCM ni watu wapenda amani? Hawajawahi kukumbwa na nguvu za Polisi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafuasi wa CCM ni watu wapenda amani? Hawajawahi kukumbwa na nguvu za Polisi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muhogomchungu, Jan 25, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu nchi ipate uhuru sijwahi kusikia msuguano kati ya Polisi na wafuasi wa ccm,Licha ya vurugu za kisiasa huko visiwani, kwa bahati sijasikia au kuona wanaccm wakikumbwa na nguvu za dola. hii ni miaka 50, sijawahi kuona nguo rangi ya kijani yaani wanaccm wakipigwa mabomu, kupigwa virungu na hata kumwagiwa maji ya uwasho.
  hata huku tz bara hali ni hiyo, Chadema, Cuf, Tlp, NCCR na vyama vyengine tu.
  wanafunzi vyuoni, wafanyakazi, wauza samaki na hata wananchi wengine lkn sijaona ccm. jee huu ni mfano mzuri wa kuigwa?
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  wafuasi wa sisiem wameshazoea kuwa brainwashed na viongozi mafisadi ndani ya sisiem chini ya vyombo vyao vya dola.... CDM hakuna maduanzi kama wana sisiem
   
 3. GATS

  GATS JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe uliona wapi Mbwa anamng'ata anayemtunza. Ukiona anafanya hivyo Basi huyo Mbwa ni Kichaa.
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Unatakiwa kuwa na akili za kiwendawazimu kuweza kutojua kuwa huwezi kutenganisha CCM na vyombo vya dola, yaani UWT, POLISI na JESHI(Viongozi wa ngazi za juu wanaofaidika na mfumo wa kuwiziwizi wa mali za umma). Kwa lugha ingine ni kuwa wafuasi wa CCM ni pamoja na POLISI sasa unataka wajipige mabomu kwa manufaa ya nani?
   
 5. N

  Nonda JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  wanaccm wameridhika na maisha bora kwa kila mtanzania. Pia huwa wanashiriki mbio za mwenge na matembezi ya mshikamano ambayo huitishwa na CCM na serikali yao.
  WanaCCM wao hupata punguzo la bei ya umeme na mafuta.
  Pia sokoni hupunguziwa bei wanapoonesha kadi za uanachama wao wa CCM.
  hawana shida na niwapenda amani, wala hawana ugomvi na polisi.
   
 6. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiv MUHOGOMCHUNGU wakati wa harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika, na wakati wa Afrika wa Afrika ya Kusini wakipambana na MAKABURU ulipata kusikia au kuona POLISI wakiwashambulia WAZUNGU(MAKABURU). Kama bado ujapata ona............. Ndio ujue CCM ni sawa na MAKABURU huvyo Polisi hawapaswi kuwa nyooshea vidole wateule HILA ukiwa mpinzani na mwaharakati ndani ya Tanzania wewe ni sawa na muafrika wa south Afrika ya wakati ule yaani unaonekana kuwa ni KAFIR mbele ya watawala na polisi wao.

  Hivyo Tafakari kama huo ni mfano wa kuigwa au la....
   
 7. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  MUHOGOMCHUNGU..... Meno ya mbwa hayaumani......
   
 8. GATS

  GATS JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe si uliona wakati wa uchaguzi vyombo vya dola vinasema mkikataa matokea mtakiona cha mtema kuni. unafikiri walitumwa nanani ?Bila shaka utakuwa na jibu.
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Mzembe wa kufikiri wewe

  Police na FFU wametumika sana kwenye kulazimisha operation vijijini miaka ya 70s kupiga na kutesa wananchi miaka hiyo ilikuwa ya chama kimoja TANU. Kumbuka Operation Barabaig wananchi walivyohamishwa kwa nguvu toka kwenye vijiji vyao kupisha mashamba ya NARCO kwa ajili ya kilimo cha Ngano.

  1986 Wafanyakazi wa kiwanda cha sukari Kilombero waligoma, Police na FFU walitumika kuzuia mgomo huo na watanzania 4 walipoteza maisha yao. Kumbuka miaka hiyo kupata kazi ilikuwa lazima uwe mwanaCCM. Kwa maana hiyo waliouwawa walikuwa wana CCM kwa nguvu za dola

  Mwaka 2000 mauwaji ya Mwembechai na wale waandamanaji wa CUF ambao siku hizi ni CCM B walipigwa na FFU na polisi na kusababisha wakimbizi wa kizenj Kenya.

  Polisi wamekuwa wakitumika mara nyingi tu kuzuia vurugu, kumbuka mauwaji ya polisi kule kwa wachimbaji wadogo madini Mererani wale sijui hata kama wanaitikadi na chama

  Kifupi hoja yako haina akili.
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  CUF walikuwa na bendera zao kwa sasa wangekuwa na za CCM! Wagomaji wa Kilombero bendera zilkuwepo kwenye ofisi Jumuiya ya wafanyakazi. Hivi wewe unatembea na bendera ya CUF siku hizi CCM B?
   
 11. m

  mjombajona JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 262
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  [QUOTE=Nonda;1543269]wanaccm wameridhika na maisha bora kwa kila mtanzania. Pia huwa wanashiriki mbio za mwenge na matembezi ya mshikamano ambayo huitishwa na CCM na serikali yao.
  WanaCCM wao hupata punguzo la bei ya umeme na mafuta.
  Pia sokoni hupunguziwa bei wanapoonesha kadi za uanachama wao wa CCM.
  hawana shida na niwapenda amani, wala hawana ugomvi na polisi.[/QUOTE]

  Nimeipenda hii, kwa wanaoshadadadia bila kufikiri someni hii!
   
 12. czar

  czar JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unauliza nn wewe sikuelewi kabisaaaa. Yaani maandamano ya ccm yapigwe na polisi? Mbona ni kama umeshika mkia halafu unauliza XYZ yake.
   
Loading...