Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

Ni bora Tukubaliane kama nchi, tukiacha haya mambo ya ajabu tufute hivi vyama yaishe.

Tubaki na CCM tu.
 
Wasikilize mwenyewe wajumbe wa baraza kuu la chadema wanaotoka mkoa wa Dar es Salaam walichokisema wao kuhusu katiba ya chama chao...
Hizi njaaa hizi,zitawaua vijana,yaani mnasubili mpaka kiongozi wenu anabambikiwa kesi ndio mnajitokeza kupinga,kwanini haya hamkuyaongea kwenye mikutano yenu ya live hivi karibuni,

muonekano wenu tu unatia mashaka,mnapepesa macho kama vibaka,hata kama Katiba yenu inamapungufu,timing yenu ya kuliongelea hili imekaa vibaya sana.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Bora wamejitokeza....

Ifikie mahala CHADEMA wairekebishe katiba yao iwe kidemokrasia zaidi kabla ya kutaka mambo MAKUBWA ya Katiba ya JMT.....

#ChademaWaibadilisheKatibaYao
#NchiKwanza
#KaziIendelee

Kwenye mic pale wewe ni yupi #1 au #2?
 
Hawa wataitwa kila jina, lakini kiukweli wameonesha kukomaa zaidi kisiasa kuliko wale wenye dhamana ya kitaifa ya kuongoza Chadema.

Ninajua Mbowe na washirika wake wa karibu hawawezi kukubaliana na ushauri wa hawa vijana, kwasababu agenda ya Katiba Mpya ndiyo kichaka au ngao wanayoitumia (kujikinga dhidi ya tuhuma za makosa ya jinai zinazowakabili) kwa kuwahadaa watu kwamba wanabambikizwa kesi kwa vile wanajihusisha na harakati za kudai katiba mpya. Nonsense!
Hakuna kitu hapa,ni bongo muvi za ccm tu,

2859140_FB_IMG_1627310183346.jpg
 
..kulikuwa na tatizo gani UV-CCM kujitokeza na kuwa-challenge CDM kuhusu katiba ya chama chao?

..wakati tunakuwa tulikuwa tunaambiwa UV-CCM ndiyo jeuri ya chama, sasa leo inashangaza wanaogopa kujitokeza na kupambana kwa hoja na vyama vya upinzani.

Hawana hoja wala agenda. Hakuna siasa uchwara kuzidi hizi.
 
Kwenye mkutano huo wamesisitiza kuwa katiba ya chama chao ina mapungufu mengi na kusema ifanyiwe marekebisho kabla hata hawajadai katiba mpya ya Tanzania...
Hao ni ccm tu,hizi cheap propaganda tumezizoea,
Wanajitekenya na kucheka,yaani ccm sasa hv ni mishuzi kila kona

2859140_FB_IMG_1627310183346.jpg
 
VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.

Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya...

2859140_FB_IMG_1627310183346.jpg
 
Kwenye mkutano huo wamesisitiza kuwa katiba ya chama chao ina mapungufu mengi na kusema ifanyiwe marekebisho kabla hata hawajadai katiba mpya ya Tanzania...
Tumewasikia, ila makamanda huwa si wa kupambana na mbwa bali mwenye mbwa.

Au nasema uongo bwana Jumbe Brown?
 
Mmmmmmmmhhh!!! Lini Samia kaongea na viongozi wa vyama vya siasa? Huu ni uhuni wa kipumbavu,CCM njia mnazopitia kujibu hoja za katiba mpya zitawafedhehesha siku si nyingi.

Hawa vijana ni wanaccm damu ila wamejitoa ufahamu na kuwahadaa wananchi ,taifa lilipofika lipo kwenye wakati na muda sahihi wa kudai katiba mpya.
 
VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.

Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya...
Lakini hawa hawakukamatwa sio?
 
takataka za CCM, hii haiwasaidii, Unadhani wanachadema hawaji wanachama wao? haya ni manyani ya CCM na Twitter yamewekwa na uniform za CCM.
labda madelu hajakufanyia kazi ndiyo maana unapost utopolo, madelu mpe kitu kikali atulie
Nakubaliana na ww kuwa si chadema.Je hizo hoja ni za kweli au uongo?
 
Siasa za bongo ni comedy tu... 😁😁

Mtu kama mimi ambaye sifungamani na upande wowote huwa naangalia na kucheka tu... 😀😀
 
Back
Top Bottom