Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

Kwenye mkutano huo wamesisitiza kuwa katiba ya chama chao ina mapungufu mengi na kusema ifanyiwe marekebisho kabla hata hawajadai katiba mpya ya Tanzania

Wamesema katiba inayotumika sasa inakinzana kabisa na chama chao kinachojinasibu kuwa chama cha demokrasia

Maendeleo hayana vyama

Kazi iendelee
Ndo hawa au
Screenshot_20210726-145223-1.jpg
 
Nilisema mimi jana kuwa Lisu ni muhusika mkuu wa kinachoendelea sasa, maana washamchoka mwenyekigoda lkn kutokana na mfuko wake walishindwa kumn'goa pale kupitia uchafuzi mkuu wa chama uliomuweka tena madarakan. Ila Lisu atauweza mfupa uliomuondoa Chacha wangwe duniani na kumtosa Zito chamani? Hilo ndio swali la kujiuliza. Lets wait time will tell.
Aisee
Screenshot_20210726-145223-1.jpg
JamiiForums-1797793390.jpg
 
Bora wamejitokeza....

Ifikie mahala CHADEMA wairekebishe katiba yao iwe kidemokrasia zaidi kabla ya kutaka mambo MAKUBWA ya Katiba ya JMT.....

#ChademaWaibadilisheKatibaYao
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Kweli ndo hawa wenye madai hayo au ni wengne
Screenshot_20210726-145223-1.jpg
JamiiForums-1797793390.jpg
 
VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.

Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya. Viongozi na Wanachama hao wamedai kwamba mabadiriko ya Katiba yaanze kwanza ndani ya Chama chao cha CHADEMA kwa kubadirisha Katiba yao.

Wakizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 26, 2021 wanachama hao wamesema Katiba ya sasa ya CHADEMA haina uhai na haibebi misingi ya demokrasia.

"Tubadili kwanza Katiba yetu ndio tupiganie Katiba ya nchi. Alisema Kiongozi wao Mackdeo Shilinde.
View attachment 1869309
Mhu! Quite irrelevant! Kwani Mbowe ndiye aliyeunda tume kutafuta maoni ya wananchi Tanzania Bara na Visiwani kuhusu Katiba Mpya tangu Awamu ya Nne chini ya Rais Jakaya Kikwete na kisha tume ikaandika Rasimu ya Pili ya Katiba (2013)?
 
FAKE NEWS!!! Lini samia alimuita MBOWE!? Hawa ni Chadema FEKI.

Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya. Viongozi na Wanachama hao wamedai kwamba mabadiriko ya Katiba yaanze kwanza ndani ya Chama chao cha CHADEMA kwa kubadirisha Katiba yao.

Wakizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 26, 2021 wanachama hao wamesema Katiba ya sasa ya CHADEMA haina uhai na haibebi misingi ya demokrasia.

"Tubadili kwanza Katiba yetu ndio tupiganie Katiba ya nchi. Alisema Kiongozi wao Mackdeo Shilinde.
View attachment 1869309
 
VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.

Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya. Viongozi na Wanachama hao wamedai kwamba mabadiriko ya Katiba yaanze kwanza ndani ya Chama chao cha CHADEMA kwa kubadirisha Katiba yao.

Wakizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 26, 2021 wanachama hao wamesema Katiba ya sasa ya CHADEMA haina uhai na haibebi misingi ya demokrasia.

"Tubadili kwanza Katiba yetu ndio tupiganie Katiba ya nchi. Alisema Kiongozi wao Mackdeo Shilinde.
View attachment 1869309
Hao ni majunya wa uvccm.
FB_IMG_1627310183346.jpg
 
Unaingia barabarani kumpigania huyu, huku kwako haujaacha hata hela ya unga.. Hii ni akili au matope!

View attachment 1869352
Malofa 320 wa AFRIKA YA KUSINI walipoteza ROHO ZAO kumpigania Mh.Zuma asiende JELA miezi 15.....

Mh.Zuma ana miaka 79....
Ana watoto wakubwa.....WAKO VIZURI KIUCHUMI

Ana wajukuu "matozi na masista duu"....wanakula bata tu kama mtoto wa Mh.Mbowe(Rodney).....

Malofa hao VIJANA wameacha VITOTO yatima na WAJAWAZITO huko vibandani kwao SOWETO..

BOGUS KABISA....
BURE KABISA......
 
Mleta mada jiheshimu... unaheshimika humu jukwaani
VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.

Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya. Viongozi na Wanachama hao wamedai kwamba mabadiriko ya Katiba yaanze kwanza ndani ya Chama chao cha CHADEMA kwa kubadirisha Katiba yao.

Wakizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 26, 2021 wanachama hao wamesema Katiba ya sasa ya CHADEMA haina uhai na haibebi misingi ya demokrasia.

"Tubadili kwanza Katiba yetu ndio tupiganie Katiba ya nchi. Alisema Kiongozi wao Mackdeo Shilinde.
View attachment 1869309
 
Bora wamejitokeza....

Ifikie mahala CHADEMA wairekebishe katiba yao iwe kidemokrasia zaidi kabla ya kutaka mambo MAKUBWA ya Katiba ya JMT.....

#ChademaWaibadilisheKatibaYao
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Hayo matakataka yangeongea tu kama wewe ingetosha,sasa hiyo ya kujifanya eti ni wanachadema ndiyo u3enge wenyewe,nisaidie kuyatukania mama yenu mkuu,please!!
 
Hawa wahuni wa Lumumba ndio unawaita wanachama wa CDM? Stu.pid
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom